Akina dada, kwanini mnakubali kutoa namba kisha mkipigiwa simu hampokei?

Akina dada, kwanini mnakubali kutoa namba kisha mkipigiwa simu hampokei?

Tunatoga namba tu ila utapiga mwenyewe na utapokea
Mwenyewe

Kuna mazingira mtu unaona aibu kumnyima mtu namba ila tunawakomesha mkianza kututafuta..

Mimi natoa namba sana nakudanganya na jina ukipiga ukasema ni wewe ndio hutokaa uone napokea simu yako ama kujibu sms na sikublock utaacha wewe kunitafuta

Acheni kuombaomba namba yaani mtu amekuchekea kidogo ushaomba namba hii tabia inakera unajikuta kwa mwezi umegawa namba kwa watu wengi utazani unaomba kazi [emoji849]
Akununulie simu na laini hapo sawa
 
Hahaah 🤣, namba mtapata ila mtapiga sana, tamaa tu😏
 
Kaka unautumia akili nyingi sana kwa watu ambao hawajozea kuangaisha ubongo.

Unatumia akili nyingi kutoa ufafanuzi kwa watu ambao wanaishi kimazoea tangu udogoni mpaka wanakuwa watu wazima.

Jamii yetu hii ina social settings ambazo ndio watu wanaishi kwa kuzifuata na huwezi ukawabadilisha hata iwe vipi

Kikawaida mwanamke wa kitanzania hasa binti akiombwa namba ya simu na mwanaume asiyejua, tayari akilini mwake anajua kinachofuata hapo ni mtongozo tu basi hakuna kingine...

...Na ndio maana mara nyingi wanaaza kujihami mapema kama vile kukuandalia aina ya majibu atakayokupa hata kabla hujamtafuta.

Mimi wiki iliyopita nilimuomba mmoja wao namba alikuja eneo ninalofanyia kazi, yaani ile amemaliza tu kunitajia tarakinu ya mwisho akaniambie eti "ila Mimi sitembeagi na waume za watu" ilibidi nitabasamu tu huku nikishangaa sana.

Kwa hiyo hii ndio aina ya wanawake waliopo kwenye jamii yetu.. ukimuomba namba ya simu tafsiri yake ni umemtaka.
A girl/woman is a product of her society. 99.9 ya namba tunazoombwa na strangers ni kwaajili ya mtongozo, unnecessarily ! Kabla hatujalaumu wanawake, hebu “sisi” wanaume tujikague.

Kitu ambacho una overlook ni kwanini wanawake “wanatoa namba na hawapokei simu” Umeshasikia mara ngapi msichana anakuwa bullied only kwasababu amekataa kusimama barabarani kumpa ME namba/attention or whatever alicho aim? Kitu hujui ni kuwa wanawake tumejitengenezea “surviving mechanism” katika huu ulimwengu wa kiume. Kadogo2 huko juu amesema kuna mazingira haiwezekani kuacha kutoa namba, as a woman nimemuunga mkono and other women can relate.

Looks like nimepata another Natafuta Ajira wakuargue nae kila thread ya wanaume vs wanawake! 😀
 
Namba unatoa ya nn sasa?

Kwa mm labda usinipe nafasi kabisa ya kunisikiliza ukinipa namba lazima tu kiumane, mdada anaebisha a test aone p.m ataleta mrejesho na kuanza kunitag kila bandiko kama smart!
 
A girl/woman is a product of her society. 99.9 ya namba tunazoombwa na strangers ni kwaajili ya mtongozo, unnecessarily ! Kabla hatujalaumu wanawake, hebu “sisi” wanaume tujikague.

Kitu ambacho una overlook ni kwanini wanawake “wanatoa namba na hawapokei simu” Umeshasikia mara ngapi msichana anakuwa bullied only kwasababu amekataa kusimama barabarani kumpa ME namba/attention or whatever alicho aim? Kitu hujui ni kuwa wanawake tumejitengenezea “surviving mechanism” katika huu ulimwengu wa kiume. Kadogo2 huko juu amesema kuna mazingira haiwezekani kuacha kutoa namba, as a woman nimemuunga mkono and other women can relate.

Looks like nimepata another Natafuta Ajira wakuargue nae kila thread ya wanaume vs wanawake! 😀
Si utoe ata namba ya uongo? Kwann umpe real digits ukijua hutapokea? Nakuelewaga sana leo umekata left turn mkuu, usitoe namba simple as that! Unless unapenda thrill kuwa chased after mana ke kutoku tongozwa nayo shida unajiona kinyamkela.
 
She’s not interested, and its her passive aggressive way of not having to say no. Do yourself a favor and just delete her number.
 
Asilimia kubwa huu ndio ukweli. Si rahisi mwanaume kutaka namba ya mwanamke si ndugu yake, au hata useme ni work mate ama sababu yoyote ya lazima ya kukufanya uwe na namba zake kama si kumtaka. Ni wachache sana lkn wengi wakishataka namba ya mwanamke kinachofata ni mtongozo.
Kwani Kuna ubaya gani ukitongozwa?
 
what nimejifunza kwenye aya mambo hasa ya kuomba namba ni usitongoze na wala usiwe na papara na mtu maana hata mood yake kwa mda huo huijui;

kama umepewa namba tengeneza namna ya kuwasiliana na mtu kawaida, ukituma sms moja asubuhi isipojibiwa relax, jioni tena moja isipojibiwa relax inawezekana mtu katingwa uko na pia ndiyo kwanza mmeanza kuwasiliana hamjuani ko usitegemee makubwa sanaaa.
 
Ukiona umemkatalia hitaji lake na akashindwa kuwa muelewa na akawa msumbufu kwako basi hapo una uhalali wa kumpiga brock lakini siyo kukataa kumpokea hata kabla ya kumsikiliza.
Tatizo sisi linapo kuja mawasiliano kati ya me na ke kinacho tangulia vichwani mwetu ni ngono na uzinzi tu,mtu anaweza kukuomba namba yako kwa dhamira ya kukutongoza lakini akabadilisha dhamira yake baada ya kujua ww ni mtu wa aina gani na mkawa na urafiki wenye tija katika maisha yenu.
Mtu anaweza asikufae kwenye mapenzi lakini akakufaa kwenye mambo mengine.
Aisee una akili sana, kunywa juisi nakuja kulipa.
 
Back
Top Bottom