Akina dada, kwanini mnakubali kutoa namba kisha mkipigiwa simu hampokei?

Akina dada, kwanini mnakubali kutoa namba kisha mkipigiwa simu hampokei?

Basi kwa kufanya hivyo unajiona uko so special as if mwanamke ni wewe mwenyewe tu hapa duniani.

Lakini sikulaumu wewe, Nina ilaumu jamii na wanaume kwa ujumla maana shobo zao ndio zimewafanya muwe na hii overbloated ego

Hilo la kujiona special ni wewe Umesema

Ila mimi nachukulia kawaidaa tu Kama sijapokea mimi atapokea mwinginee
 
Samahani ndugu ulivyotoa namba una uhakika ulikuwa na hirizi ya mjapani kweli? maana hakuna wanawake wepesi kama wa sasa.
 
Kuwa mpole zamu yako ikifika utatafutwa endelea na wengine usiogope mwisho wa safari ni uleule hakuna kukojoa urojo au juice
 
Kwanza mi nikishachukua namba Kwa demu Huwa nasev jina baya Ili asipopokea nifurahi moyoni... Kwa ww ningekusev "DEMU ANAYENUKA"

Bora wewe una muda wa ku save wengine hata huo muda hatuna wa ku save jina
 
Imefika mahali watu Wana amini kitu pekee kinachomuunganisha mwanamke na mwanaume ambao sio ndugu wa Damu ni ngono... Mentality ya kishenzy sana
Mwanamke anayewaza hivyo ujue hana kazi za kufanya, hana ishu hapa duniani zaidi ya kugawa uchi wake unaonuka shombo ya samaki, pia ujue ni masikini mno na hajasoma au alifeli hata form four. Lakini wanawake classic wenye shughuli zao hadi nje ya Tanzania, ukiomba namba au kuwapa business cards, wanaona ni fursa ya kibiashara au dili la Muhimu.
 
Mbona msiwaombe hao business woman mnatuomba sie chakaramu… yaani sina Biashara na wewe.. sikufahamu na sihitaji kuongeza Idadi ya marafiki wa kiume kwenye simu yangu sasa hiyo fursa iko wapi

Mkiombwa hela mje mfungue uzi hapa.. likuepukalo lina heri ukiona mtu harespond you call jua hayuko interested na wewe.. Mbona kuna wenginee wanapewa namba na wanazungumza.

Yaani wanaume mnashangaza tukianza kuongea na kila tunaempa namba si itakuwa tumejaza simu fikiria kwa wiki umekutana na wanaume wapya 20 na wote wameomba namba… kwaiyo ufanye kazi ya kuwajibu na kupokea simu zao ambazo wanatuma sms mambo, hello, niambie…

Kama hujajibiwa wala kupokelewa simu within 1 week achana na huyo kiumbe ujue hayuko interested na wewe

Kwanza wanaume mnaomba namba kwa kila mdada unakuta kijana ameomba namba kwa siku wadada Kama 10 wote anawatafuta sijui huwa mnajisikiaje[emoji174]
 
Kama hapokei tupia ka muamala then usimtafute uone kama hatokutafuta na sorry kama zote
Nilikuw natafut hili jib. Kuna dem mmoja nimeomb na nilimuelew kusm la ukweli na alivyonip namb nikamchek Sik ya tatu hakupokea wala kujib SMS Mie nikamwag hela mazee laten nikatum nikamwambia weka vocha then Kesho kutw nitafut kummke Kesh kutw mapem San saa 5 mtot kajaa mwenyew kwny 18 za muhun hakun nakupend hakun I need you. Nilimuelekez geto akaja fureshi Tu na nikala
 
Mwanamke anayewaza hivyo ujue hana kazi za kufanya, hana ishu hapa duniani zaidi ya kugawa uchi wake unaonuka shombo ya samaki, pia ujue ni masikini mno na hajasoma au alifeli hata form four. Lakini wanawake classic wenye shughuli zao hadi nje ya Tanzania, ukiomba namba au kuwapa business cards, wanaona ni fursa ya kibiashara au dili la Muhimu.
Hamuna lolote nyie Bhan munanuka njaa Tu. Hela Tu munaliwa kiulaini fresh hakun cha form 4 sjui master wala sjui PhD ten nyie munaojiita wasomi Nd munalika kiulain sbb munajifany sjui I don't care. Na munaliwa na pesa zenu munazopat munawap wauni hao hao wanaowala. Usijinasib hapa na Alf ningekujua wew au bac [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Piga simu kama hapokei tuma hata 20,000 uone kama hautopigiwa. Nakumbuka early 2014 kuna Jamaa yangu alipewa namba ya Video vixien wa Belle 9 haikupokelewa, akatuma 30,000 mbona fasta alipigiwa
 
Mi ni mwanaume kjn, punguza kelele.
 
Si utoe ata namba ya uongo? Kwann umpe real digits ukijua hutapokea? Nakuelewaga sana leo umekata left turn mkuu, usitoe namba simple as that! Unless unapenda thrill kuwa chased after mana ke kutoku tongozwa nayo shida unajiona kinyamkela.
Asante kwa kunielewaga, na pole sababu hutopenda kila ninachochangia.

Nilichosema ni mtazamo wa kike zaidi, ni wanawake tu watauelewa, nikisema ni wanawake wangapi walishakutwa na aibu ya kutoa namba ya uongo na ikapigwa hapo hapo bila shaka ni wengi, katika kutafuta namna bora ya kusurvive ndio tukaja na hiyo mbwinu.

Halafu suala la namba kuna watu wanabetianaga kabisa, kuwa pale nachukua namba, kutokumpa namba ni kubleach ego yake mbele ya wenzake, kwani ni ngumu kiasi gani kumfanya mtu ajisikie vizuri kwa muda? Matokeo atapambana nayo baadae kwasababu sio waomba namba wote huwa wapo serious wengine wapo mazoezini…..

Naongea real life situations, kuna uzi humu mkaka analalamika hana confidence, wakumshauri wakamshauri, mwingine kaja akamshauri anza kwa kutongoza wadada na kuomba namba you will gain your confidence, hii ni case moja ndogo, Je tujiulize ni ngapi na huwa zinatutokea mara ngapi.

Kuna sababu nyingi za msingi za kumpa mtu namba akiomba, hapo bado haujakutana na yule uliyeamua kumpokelea simu ukamjibu kuwa “sipo interested “ na mahusiano na wewe….. Mara nyingi tu tunakula vichambo.

Bottom line wanaume hamko perfect, let women be!
 
Asante kwa kunielewaga, na pole sababu hutopenda kila ninachochangia.

Nilichosema ni mtazamo wa kike zaidi, ni wanawake tu watauelewa, nikisema ni wanawake wangapi walishakutwa na aibu ya kutoa namba ya uongo na ikapigwa hapo hapo bila shaka ni wengi, katika kutafuta namna bora ya kusurvive ndio tukaja na hiyo mbwinu.

Halafu suala la namba kuna watu wanabetianaga kabisa, kuwa pale nachukua namba, kutokumpa namba ni kubleach ego yake mbele za wenzake, kwani ni ngumu kiasi gani kumfanya mtu ajisikie vizuri kwa muda? Matokeo atapambana nayo baadae kwasababu sio waomba namba wote huwa wapo serious wengine wapo mazoezini…..

Naongea real life situations, kuna uzi humu mkaka analalamika hana confidence, wakumshauri wakamshauri, mwingine kaja akamshauri anza kwa kutongoza wadada na kuomba namba you will gain your confidence, hii ni case moja ndogo, Je tujiulize ni ngapi na huwa zinatutokea mara ngapi.

Kuna sababu nyingi za msingi za kumpa mtu namba akiomba, hapo bado haujajutana na yule uliyeamua kumpokelea simu ukamjibu kuwa “sipo interested “ na mahusiano na wewe….. Mara nyingi tu tunakula vichambo.

Bottom line wanaume hamko perfect, let women be!
Wewe hebu toa namba bwana, wacha maneno. Tufungulie vijana na PM kabisa!
 
Piga simu kama hapokei tuma hata 20,000 uone kama hautopigiwa. Nakumbuka early 2014 kuna Jamaa yangu alipewa namba ya Video vixien wa Belle 9 haikupokelewa, akatuma 30,000 mbona fasta alipigiwa
Si mnasema si vizuri kutanguliza pesa mbele sasa hapa inakuaje tena? Na ukishampata akikuomba hela mbeleni utaendelea kumpa au ndio inakua bye bye??
 
Back
Top Bottom