Tunatoga namba tu ila utapiga mwenyewe na utapokea
Mwenyewe
Kuna mazingira mtu unaona aibu kumnyima mtu namba ila tunawakomesha mkianza kututafuta..
Mimi natoa namba sana nakudanganya na jina ukipiga ukasema ni wewe ndio hutokaa uone napokea simu yako ama kujibu sms na sikublock utaacha wewe kunitafuta
Acheni kuombaomba namba yaani mtu amekuchekea kidogo ushaomba namba hii tabia inakera unajikuta kwa mwezi umegawa namba kwa watu wengi utazani unaomba kazi [emo
Tunausemi wetu “atatafuta wa kumpokelea “
muwe mnakataa hapohapo huo nao ni ushamba tu! tatizo hamjui hata maana ya mawasiliano, kitendo cha kutoa namba tayari ni step mojawapo kukubali mawasiliano asa nn kisababishe usipokee basi tuwaache wenyewe muishi duniani kujamiiana ni muhimu kwa viumbe hai japo isiwe anasa tu