Akina dada, kwanini mnakubali kutoa namba kisha mkipigiwa simu hampokei?

ndo maana mimi huwa siombi namba, natongoza kwanza nikikubaliwa ndo naomba namba au naweza nikapewa mzigo kabla sijaomba namba.
 
Your days are numbered
 
Kama jamaa hajaseviwa je 😁
 
Sasa mkuu unamtongozaje demu kwa siku ya kwanza
Demu naemtongoza siku ya kwanza huyo nakuwa hata sina mpango nae labda yeye tu akibali sitamuacha, Huwa wapo wanaokubali nawala ila lengo huwa wakatae ili tusipotezeane mida na hela maana akikubali naomba mzigo, akikataa poa tu ndo imeisha iyo na yeye hataomba hela maana namba yangu hana.

Mwanamke ambaye amechukua attention yangu huyu hata sita muomba namba yaani nachokifanya ni kuitoa simu kwenye equation tunarudi karne ya 20 hakuna simu za mkononi na mambo yanaendelea vizuri tu, labda yeye ndo atake namba yangu ila mimi siombi namba kabla sijakubaliwa.
 
Unatuma laki kwanza then ndo una text kujitbulisha na kumuambia umetuma kisenti cha vocha
 
Bro mapenzi hayatafutwi hivyo huyo hata akipokea simu utakula za uso mpaka ushangae, mpenzi huwa anakuja tu automatically maishani mwako
Apokee simu sasa anipe za mbavu mi ndo napendaga hizo yani kwangu nikimtongoza mtoto wa kike vile anavyokataa kataa huwa naenjoy kinoma
 
Kuna wale namba tunakupa ila tukichoka kuwa nayo kwa simu zetu tunablock na kufuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…