Akina Jemedari wamenawishwa kazi ya uwakala wa wachezaji

Watafute kazi walizokuwa na ujuzi nazo. Baada FIFA na TFF kutaka wachezaji wasimamiwe na mawakala (agent) badala ya meneja asiekuwa na weledi wa kusimamia wachezaji.

Hii imekata ngede kwa machawa wa wachezaji, watafute kazi nyingine.
Tz kafaulu mmoja tu, Jemedari atokee wapi?
 
Sawa najua alikua mchezaji,je alipita pita shule walau kdg ?

Maana Fifa Agent kuna mitihani

Edo Kumwembe anabaki kuwa Mchambuzi ninayemheshimu sana nchini. Yeye hufanya chambuzinzake ambazo zinabebwa na facts, humkuti kwenye migogoro na vilabu au wachezaji.
Upande wowote ule utakapigwa na uchambuzi wake huwa unaona suluhu pia isiyo na any bias
weledi kwenye uchambuzi ulimpatia Ally Mayai Tembele kazi ya maana. Lakini haya mang'ungaembe kazi ipo!!!
 
Edo Kumwembe anabaki kuwa Mchambuzi ninayemheshimu sana nchini. Yeye hufanya chambuzinzake ambazo zinabebwa na facts, humkuti kwenye migogoro na vilabu au wachezaji.
Upande wowote ule utakapigwa na uchambuzi wake huwa unaona suluhu pia isiyo na any bias
Kumwembe anafanya uchambuzi au anapiga story za mpira!?
 
Ali mayai kacheza mpira,kakaa darasani,huyo mwingine ni bogus tu km bogus wengine
Alivyotoka Yanga Ally Mayai nilimuona anasema CBE Dar.

Nafasi ya Mkurugenzi wa michezo hawezi kupewa magumashi kama binti Kazumari.

Hivi viredio vyao vyenye frequency zinazoishia Kimara ndio Kijiwe cha wapumbavu kama huyo, hawezi kuajiliwa TBC huyo.
 
Yes kasoma CBE na Aron Nyanda ambae ni Afisa Masoko pale TFF

TBC haiwezi ajiri wazungumzaji, wale ni wazungumzaji na sio wachambuzi wala sio watangazaji, mfn Maestro std 7 ,Jemedari nae humo humo
 
Yani ni bora Mbwiga wa Mbwiguke tunajuwa moja ni mshehereshaji tu kuliko hawa matutusa wanaojifanya wajuwaji.
 
YUKO mchambuzi mmoja anaitwa job ndugai sijui nani pale Wasafi, kila siku na kila mara lazima ajimwambafai na kusema "mimi wachezaji wangu" ninaowasimamia wana hiki na kile!!! hivi nae yumo kwenye shajala ya TFF ya mawakala?
 
Back
Top Bottom