Akina Jemedari wamenawishwa kazi ya uwakala wa wachezaji

YUKO mchambuzi mmoja anaitwa job ndugai sijui nani pale Wasafi, kila siku na kila mara lazima ajimwambafai na kusema "mimi wachezaji wangu" ninaowasimamia wana hiki na kile!!! hivi nae yumo kwenye shajala ya TFF ya mawakala?
Mimi radio zenyewe huwa sisikilizi.
 
hiyo namba 5 inamhusu Karia na likatibu lake Kidau!
 
Kumwembe anafanya uchambuzi au anapiga story za mpira!?
Hivi IPO kozi ya uchambuzi wa mpira au ni janjajanja TU? Mbona salama ngare anaonekana anajua kuliko kazumari na jeflea? Kwenda hewani lazima kuwe na maadili yake.
 
Kuna wakati nikahisi kama vile wachambuzi wengi wa mpira ni washabiki wa simba. Hawapendi kuikosoa vibaya Simba hata pale inapokosea wakidhani kuwa wanaisaidia kumbe wanaipa kile wazungu wanachokiita false hope/matumaini bandia. Mchambuzi wa mpira huwa anauchambua mpira kwa mapana yote. Mchambuzi anatakiwa kuwa kioo cha wadau wote wa mpira kujitazama. Kioo kinaonyesha tu ulivyo lakini hakihukumu kuwa wewe ni mbaya, mzuri au umechafuka. Ni Kazi yako mwenyewe kutafsiri ulichokiona kwenye kioo na hatua utakazochukua. Kazi ya kioo sio kukuonya, kukupongeza au kukutuma ni chakufanya. Wachambuzi wetu ni kama matawi hai ya timu wanazozipenda. Kazi ambayo ilipaswa kufanywa na wasemaji wa timu husika wanaifanya wao.
 
Hivi IPO kozi ya uchambuzi wa mpira au ni janjajanja TU? Mbona salama ngare anaonekana anajua kuliko kazumari na jeflea? Kwenda hewani lazima kuwe na maadili yake.
Inabidi uwe unaijua mpira,kwa waliocheza kwa viwango vya juu wanakua na uelewa wa mpira,siyo kuangalia mpira kwa muda mrefu Kama akina Edo kumwembe,zamani alipokuwepo marehemu mziray,shafi dauda alikua haendi,maana ilikua akiongea mziray anamkosoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…