Akina Mama na akina dada, dudu za wenza wenu zikigoma kusimama msiwadhihaki muwabembeleze

Mtu afanye utafiti mdogo tu, wiki nzima usile ukashiba vizuri ukawa mtu wa njaa; uume nao hautasimama vzr
Ila kula msosi kamili wiki ushibe vzr; utaona uume unavonesa kwa kujiamini
 
Tofautisha penzi na kujamiiana
 
Mtu afanye utafiti mdogo tu, wiki nzima usile ukashiba vizuri ukawa mtu wa njaa; uume nao hautasimama vzr
Ila kula msosi kamili wiki ushibe vzr; utaona uume unavonesa kwa kujiamini

Upo sahihi kabisa.

Unashangaa umelala zako fofofo lakini Mjusi kafiri anahangaika kusimama na kuhutubia.

Ukila vizuri ukashiba, ukanywa maji ya kutosha, ukalala kwa wakati, mazoezi kama sio mtu wa kazi ngumu,
Kuacha lunges masukari kama vinywaji vya sukari, sijui chai ya sukari.
Aiseh kama hujaoa unaweza kupewa kesi
 
Unakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika.

Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki.

Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Ndo umekuja kujitetea huku baada ya kupuyanga huko 😂

Jikaze mzee, tumia hata viagra, kufa kupo tuu
 
Hii nauhakika nayo kabisa, hizi habari za kununua madawa ya kuongeza nguvu ni kujimaliza mazima!
Nguvu ni kula kushiba maji ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…