Akina Mama na akina dada, dudu za wenza wenu zikigoma kusimama msiwadhihaki muwabembeleze

Uzuri ni haujataja bhangi
 
Unakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika.

Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki.

Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Hili swala limeshawahi kuvunja ndoa mbili tatu nazijuwa.
Kisa kwa mwanamke kutoa siri kwa wenzake nawo wakaisambaza, ilipowafikia wanaume ndoa zilikufa papo hapo, cha kushangaza wanaume walipata wenza wapya na wanao mpaka leo!
Kina mama wapo tu wanapata madume na kuacha au kuachwa!
Hatarii sana sana sana
 
Halafu hao wanawake walioachwa kwa sababu ya kusambaza hayo maelezo kwa masampa wao wa huko nje ukiwaangalia mikono yao imekomaa utadhani Jini na muda mwingi hua wanataka wasifiwe hata wakijamba
 
Unakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika.

Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki.

Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Hormone za mwanaume akitukanwa au kudharauliwa ndiyo anadindisha usipokuwa hivyo tutakuwa na wasiwasi na wewe

Mie anajua akitaka apariliwe kisawasawa aonyeshe dharau tu aki ya nani mamamaeee
 
Hormone za mwanaume akitukanwa au kudharauliwa ndiyo anadindisha usipokuwa hivyo tutakuwa na wasiwasi na wewe

Mie anajua akitaka apariliwe kisawasawa aonyeshe dharau tu aki ya nani mamamaeee
Toa mavi yako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…