Akina mama ndio chanzo Cha laana kwa watoto! Wanapandikiza chuki watoto wawachukie baba zao !

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Laana inaweza kuonekana dhahiri au ikaonekana kwa kuyatafsiri maisha halisi ya mtu ! Kila nilipokuwa narejea nyumbani nilimpa kipaumbele mama kuliko baba! ,Na mama aliutumia udhaifu wangu kunisimulia Kila jambo baya la baba ili niendelee kumchukia baba! Mama alikuwa ana wezq kunisimulia matusi ambayo baba Huwa anamtukana na kamwe hakuwahi kunisimulia yeye ni matusi Gani amewahi kumtukana baba! Mama alikuwa na tabia ya kunionyesha makovu na ubaya wa baba ,ikiwemo baba Yako ni malaya sana ! Baba Yako hanipi Hela au haninunulii nguo nk ,lakini sikuwahi kumsikia baba akinisimulia kuhusu ubaya wa mama ,hata ningeshinda nae kutwa kucha hakuwahi thubutu kuniambia ubaya wa mama! Wanaume hufa kiume!! Niliyachukua maneno ya mama kama yangu nikamtenga baba .nikawa namtumia pesa mama TU !inaweza kupita hata mwaka mzima bila kuongea na baba lakini kila baada ya masaa matatu manne lazima nitaongea na mama ! Kuna wakati baba anaweza kuniomba Hela lakini mama akaniambia usimpe! Na mimi natii sauti ya mama! Nimejifunza jambo hasa baba alipofariki nimegundua niliegemea upande Mmoja . Lakini baba ndie alieumia zaidi kunisomesha na hata kujinyima Kila kitu, .wakati wa kunilipia ada nilimtafuta baba lakini nilipofanikiwa sikumtambuq Tena ! Nawewe unazaa ! Hicho unachomfanyia baba Yako na wewe utafanyiwa ! Na Kuna mikosi itakuandama hata kama unapata mshahara mkubwa namna Gani laana haiogopi kipato ! Mkumbuke babaako ,mkumbe babaako ,usisikilize malalamiko ya mama pekee ! Hiyo ni ndoa Yao .wewe angalia wajibu wako
 
Wanaumd tutumize wajibu wetu. Nini mwanamke atamwambia mtoto haitakiwi kukuzuia kutimiza wajibu wako kwa mtoto.

Wao ni watoto na watakuja kua watu wazima, watakutana na changamoto hizo hizo so wewe timiza wajibu wako kwa watoto wako
 
Unatoa ushuhuda wako wakati Baba keshafariki,sasa shuhudia laana yako,Komaa nayoo sasa ....
 
Nadhani mshua wako alikuwa anakufuga sio kulea kama mzazi. Laiti angekuwa na muda wa kukaa na kuzungumza nawe ungemjua vizuri.

Miaka yote umeshindwa kujua strength na weakness za wazazi wako??
 
Hakika
 
Unakuja kugundua ishakuwa TOO LATE..!!
 
Nadhani mshua wako alikuwa anakufuga sio kulea kama mzazi. Laiti angekuwa na muda wa kukaa na kuzungumza nawe ungemjua vizuri.

Miaka yote umeshindwa kujua strength na weakness za wazazi wako??
Wewe hujamuelewa mtoa mada..!!
 
Nawe hujanielewa, huyo kuna umri ambao angejua kama wanalishwa Matango pori na maza. Baba yake angekuwa na ukaribu naye angeweza kumfahamu zaidi.

Wanaume tuwe karibu na watoto wetu wajue mapema kuwa ndio provider.
Yes
 
Wanaumd tutumize wajibu wetu. Nini mwanamke atamwambia mtoto haitakiwi kukuzuia kutimiza wajibu wako kwa mtoto.

Wao ni watoto na watakuja kua watu wazima, watakutana na changamoto hizo hizo so wewe timiza wajibu wako kwa watoto wako
Point
 
Hii ya watoto kukaa upande wa mama huanzi tangu mimba, kuzaliwa na kukua. Jamii kubwa inamchukulia mama kama mteswa na baba kama mtesi. Nani kama mama... tumelelewa hivyo, mama amekuwa anatufichia kitu baba asijue nasi tunakuja kufanya hivyo.
Basi, maadam tumelijua hili, hebu tuelimishane maana kwa kweli wababa hufa kwa masoneneko pia.
 
Nawe hujanielewa, huyo kuna umri ambao angejua kama wanalishwa Matango pori na maza. Baba yake angekuwa na ukaribu naye angeweza kumfahamu zaidi.

Wanaume tuwe karibu na watoto wetu wajue mapema kuwa ndio provider.
Chanzo hasa ni baba na mama kuishiwa upendo. Mana akijua upendo hakuna anageukia watoto na kumshutumu baba. Ndoa yenye upendo hayo hayatokei
 
Back
Top Bottom