Akina mama ndio chanzo Cha laana kwa watoto! Wanapandikiza chuki watoto wawachukie baba zao !

Mzee uko sahihi kwa asilimia 300....
 
Wengi hili hawalitambui, Huwa nasema baba amebeba baraka na laana za mtoto wake sio mama, na mara nyingi akina mama ni rahisi kupandikiza chuki kwa watoto juu ya baba yao, huu ni ubinafsi hasa watoto wa kiume, watoto was kike huw wanaelewa mapema sana ndio maana wanaowajali baba zao kwa asilimia kubwa ni wanawake sio wanaume
 
Daah! Jukwaa la Siasa imekuwaje tena?! Au mimi ndo sijaelewa hii thread?
 
Mwanamke ambae anashindwa kushughulikia tofauti zao kati ya yeye na mumewe au Mwanaume wake na kuanza kuingiza watoto kati na kuwafanya wamuone Baba yao ni mkosefu ili wamchukie ni mwanamke mjinga na mpumbavu.

Wanawake wanatakiwa wapate mafundisho ya imani Kwa usahihi, Psychology and the related.

Waache mapokeo.
 
Huwa natafakali na kujiuliza Kwanini Imeandikwa kuwa mwanamke mpumbavu huivunja Nyumba yake mwenyewe kwa mikono yake mwenyewe?

Kwanini haisemi Mwanaume?
 
Inavyoonekana Hata kama Mwanaume atakuwa amekosea kwa sehemu lakini wewe mwanamke unatakiwa ujue jinsi ya kushughukia jaribu hilo kwa hekima na subira nyingi bila kuathiri heshima yake huyo Mwanaume wako.

Respect is fundamental in every strong relationship.

Kumheshimu mtu ni kumfanyia lile lenye kufaa na lenye kumpendeza.
 
Kuna sehemu mzee wako alikosea na ndio maana muda mwingi ulikuwa unakaa na mama ako ukimsikiliza hadithi zake. Wanaume mjitahidi kwenda madukani kununua mahitaji ya watoto wenu na acheni kutoa tu ela.
 
Amin
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…