Huku wakibeba mabango ya kutuma ujumbe kwa rais Samia, akina mama wa kimasai wameishutumu serikali ya Samia ya kuwalazimisha kuondoka ngorongoro na kwenda huko Tanga.
Wakitumia kauli za uchungu wa mwanamke kwa mtoto wake. Mama mmoja wa Kimasai akasema yeye ni mzazi na ni mama kama Samia, kwa nini Samia anakuwa anawaganyia mambo haya kutumia maguvu kuwaondoa katika ardhi yao.
Mama huyo wa kimasai akaendelea kusema, watoto wao wamelazimika kukimbia makazi yao kwa sababu kuna majeshi yanatumwa huko kuwaaondoa kinguvu. Akasema wakati watoto wao wanalala maporini katika hatari, yeye Samia watoto wake wako wanaishi raha mustarehe.
Wamasai wakamalizia kwa kusema kuwa, hawataki kuondoka kama ni kufa kheri wafe katika ardhi yao lakini hawataki kwenda huko Tanga.
Magufuli hakujua chochote kuhusu uchumi na biashara,siyo rejea sahihi,alikwambia gharama za utafiti mpaka uchimbaji!?..kwa nini hakutoa pesa hazina na kuwekeza kwenye nchi kuchimba rasilimali zake ili tunufaike!?

Haya mkuu, tunapata pesa kiasi gani? Zinatumikaje? Tunajuaje hawachimbi madini, kukata miti, kuchukua wanyama, mbao? Tunapewa taarifa yoyote kuhusu hili?
Wapi duniani unaweza kuingia dili kama hili? Ulaya, Amerikas, Uarabuni, China, kwa wahindi?
Bulyanhulu nilikuwepo,mkapa alikuja na kusema,nataka wabakie ndege tu hapa,hakika watu walikufa sana,baadhi ya watu walifukiwa kwenye mashimo kwa wale walijifanya kichwa ngumu
wee Matacle hao wananchi wapo sahihi hao matapeli wa Bhulyanhulu wanachimba dhahabu na kuisafirisha nje huko wananchi wakiwa maskini wa kutupwa,
khenge wakubwa wewe na Chama Cha Majangiri kwa kuhujumu wananchi siku yaja mtalipwa
kwa maovu!