Akina mama wakimasai wamwambia Samia asiwaondoe katika ardhi yao ya asili ya ngorongoro.

Huku wakibeba mabango ya kutuma ujumbe kwa rais Samia, akina mama wa kimasai wameishutumu serikali ya Samia ya kuwalazimisha kuondoka ngorongoro na kwenda huko Tanga.

Wakitumia kauli za uchungu wa mwanamke kwa mtoto wake. Mama mmoja wa Kimasai akasema yeye ni mzazi na ni mama kama Samia, kwa nini Samia anakuwa anawaganyia mambo haya kutumia maguvu kuwaondoa katika ardhi yao.

Mama huyo wa kimasai akaendelea kusema, watoto wao wamelazimika kukimbia makazi yao kwa sababu kuna majeshi yanatumwa huko kuwaaondoa kinguvu. Akasema wakati watoto wao wanalala maporini katika hatari, yeye Samia watoto wake wako wanaishi raha mustarehe.

Wamasai wakamalizia kwa kusema kuwa, hawataki kuondoka kama ni kufa kheri wafe katika ardhi yao lakini hawataki kwenda huko Tanga.

Unaweza kuwasikiliza hapa.

View attachment 2729379
Mimi nawakubali wamasai kwanza ni walinzi wa wanyama pori.
Ukiruhusu watu ambao wanakula nyapori ndio unapoteza kabisa wanyama
 
Nyerere alikosea japo alikuwa na nia nzuri, SSH anakosea,sina uhakika nia yake, anajali zaidi maslahi ya waarabu, dini, kuliko maskini Wamasai .

Wewe ukihamishwa ulipoishi kwa miaka elfu tano utajisikiaje?
Hakuna binadamu anayefikisha umri wa miaka alfu 5.
Uhifadhi hauna uhusiano na uwekezaji na uwekezaji hauna uhusiano na rangi ya ngozi wala dini.
Maana kila mwekezaji anayekuja Tanzania ana rangi yake ya ngozi na pia ana dini yake.

Tumia akili zako kuwaza mambo hayo, usikubali mtu awaze kwa niaba yako.
 
wee Matacle hao wananchi wapo sahihi hao matapeli wa Bhulyanhulu wanachimba dhahabu na kuisafirisha nje huko wananchi wakiwa maskini wa kutupwa,
khenge wakubwa wewe na Chama Cha Majangiri kwa kuhujumu wananchi siku yaja mtalipwa
kwa maovu!
Dhahabu haichimbwi ili igawiwe kwa wananchi wa eneo ambalo dhahabu inachimbwa,hakuna huduma za afya,shule nk,ulinzi wanapata toka wapi!?..unadhani nani analipia!?
 
Hakuna binadamu anayefikisha umri wa miaka alfu 5.
Uhifadhi hauna uhusiano na uwekezaji na uwekezaji hauna uhusiano na rangi ya ngozi wala dini.
Maana kila mwekezaji anayekuja Tanzania ana rangi yake ya ngozi na pia ana dini yake.

Tumia akili zako kuwaza mambo hayo, usikubali mtu awaze kwa niaba yako.
Binadamu ni record. Kwanini hujitambui, sababu umeaminishwa wewe ni mjinga. Mpumbavu Hujawahi kuw na dini maarifa, dola ustaraarabu recodi yoyote.

Nina record za Waafrika na wazungu, waarabu zaidi ya miaka 7000.
 
Don't be silly, stupid, of couse hakuna binadamu mmoja amefikisha hiyo miaka.

Ni ustaarabu wa mwafrika umefungua dunia, kugundua moto, ustaarabu, upendo, dola za Misri, Ethiopia, Sudan, Moors (Spain, Portugal zilikuwa chini ya mweusi kwa miaka zaidi ya mia saba. Arabuni kote ilukuwa sehemu ya Afrika kabla ya uisalamu na ukristro.)

Vyote wamechukua kwetu, dini zetu za asili, waafrika tunampenda Mungu siku zote kuliko wazungu, waarabu. Wameiba Anza na kitabu cha Stolen legacy. Nitakupa madini.
 
Bulyanhulu nilikuwepo,mkapa alikuja na kusema,nataka wabakie ndege tu hapa,hakika watu walikufa sana,baadhi ya watu walifukiwa kwenye mashimo kwa wale walijifanya kichwa ngumu
Dah!...unyama tu ule
 
Binadamu ni record. Kwanini hujitambui, sababu umeaminishwa wewe ni mjinga. Mpumbavu Hujawahi kuw na dini maarifa, dola ustaraarabu recodi yoyote.

Nina record za Waafrika na wazungu, waarabu zaidi ya miaka 7000.
Don't be silly, stupid, of couse hakuna binadamu mmoja amefikisha hiyo miaka.

Ni ustaarabu wa mwafrika umefungua dunia, kugundua moto, ustaarabu, upendo, dola za Misri, Ethiopia, Sudan, Moors (Spain, Portugal zilikuwa chini ya mweusi kwa miaka zaidi ya mia saba. Arabuni kote ilukuwa sehemu ya Afrika kabla ya uisalamu na ukristro.)

Vyote wamechukua kwetu, dini zetu za asili, waafrika tunampenda Mungu siku zote kuliko wazungu, waarabu. Wameiba Anza na kitabu cha Stolen legacy. Nitakupa madini.
Bahati mbaya sijui umri wako wala kiwango chako cha uelewa.
Unaongea kama kwamba umeishi kijijini tangu kuzaliwa kwako mpaka umri huo.
Kwanza mada iliyopo mezani ni kilio cha mama wa kimasai kuhusu kuhamishwa.
Lakini kwa sababu zako binafsi hoja zako zimezama kwenye ubaguzi wa dini na rangi ya ngozi.
Ni kwamba kila kitu unachokiona kimesimama maeneo ya mijini tambua kuna jamii furani za watu wamehamishwa.
Kwa mfano hapa Dar es sakaam, kuanzia Kamata mpaka Uwanja wa ndege kuna watu waliishi hapo miaka kenda, lakini wamehamishwa kupisha barabara ya Nyerere, Viwanda, umeme na mifumo ya maji.
Tukio la karibuni kabisa, wakazi wa Kipawa na Kigilagila wamehamishwa kupisha ujenzi wa uwanja wa ndege 'terminal 3'. Wakazi wa Ubungo mpaka Kiluvya wamehamishwa, tena bila fidia kupisha ujenzi wa barabara ya Morogoro.
Sasa ikiwa kwenye maeneo mengine ya nchi watu wanahamishwa itashindikana vipi kuwahamisha wakazi wa Ngorongoro?
 
Nyerere alikosea japo alikuwa na nia nzuri, SSH anakosea,sina uhakika nia yake, anajali zaidi maslahi ya waarabu, dini, kuliko maskini Wamasai .

Wewe ukihamishwa ulipoishi kwa miaka elfu tano utajisikiaje?
tusijifiche kwnye kichaka cha warabu ile ni hifadh ya dunia mmasai hatakiwi ni mharibifu.yy ni nani?Akae pale ishtoshe weng wao ni wakenya.masai atoke ngorongoro tulinde hifadh yetu kwa vizaz vijavyo
 
Mimi nawakubali wamasai kwanza ni walinzi wa wanyama pori.
Ukiruhusu watu ambao wanakula nyapori ndio unapoteza kabisa wanyama
ZAMANI YA KALE.sahv wanashndana na simba.masai hafai kukaa pale tena ahame
 
Huku wakibeba mabango ya kutuma ujumbe kwa rais Samia, akina mama wa kimasai wameishutumu serikali ya Samia ya kuwalazimisha kuondoka ngorongoro na kwenda huko Tanga.

Wakitumia kauli za uchungu wa mwanamke kwa mtoto wake. Mama mmoja wa Kimasai akasema yeye ni mzazi na ni mama kama Samia, kwa nini Samia anakuwa anawaganyia mambo haya kutumia maguvu kuwaondoa katika ardhi yao.

Mama huyo wa kimasai akaendelea kusema, watoto wao wamelazimika kukimbia makazi yao kwa sababu kuna majeshi yanatumwa huko kuwaaondoa kinguvu. Akasema wakati watoto wao wanalala maporini katika hatari, yeye Samia watoto wake wako wanaishi raha mustarehe.

Wamasai wakamalizia kwa kusema kuwa, hawataki kuondoka kama ni kufa kheri wafe katika ardhi yao lakini hawataki kwenda huko Tanga.

Unaweza kuwasikiliza hapa.

View attachment 2729379
Najaribu kjjiweka katika nafsi ya wamasai hawa wanaofanywa wanyonge katika nchi yao.

Najaribu kufikiria, nimetemvelea mabara yote, nakuishi katika baadhi ya nchi, kwenye miji mikubwa na mizuri sana. Nimewahi kulala kwenye hotel maarufu Duniani, na hapa nchini, nimetembelea mikoa yote. Lakini pamoja na hayo yote, nina nyumbani kwetu, kijijinj. Huko hata mtu angeniambia amenijengea jumba la ghorofa Dodoma au Dar, na hivyo niondoke moja kwa moja kutoka kijijini kwangu kwa sababu wameamua kuwapa wageni, sioni namna yoyote ile ya kumwelewa. Ni aheri waninyang'anye nyumba zangu 13 nilizozijenga miji mbalimbali kuliko kuniondoa na kunihamisha moja kwa moja toka kijijini kwangu.

Nikifika kijijini napata taswira na historia yangu yote, napata nafasi ya kuwakumbuka wazazi na ndugu zangu wote, walio hai na waliokwishatangulia.

Nyumbani ni nyumbani.
 
Huku wakibeba mabango ya kutuma ujumbe kwa rais Samia, akina mama wa kimasai wameishutumu serikali ya Samia ya kuwalazimisha kuondoka ngorongoro na kwenda huko Tanga.

Wakitumia kauli za uchungu wa mwanamke kwa mtoto wake. Mama mmoja wa Kimasai akasema yeye ni mzazi na ni mama kama Samia, kwa nini Samia anakuwa anawaganyia mambo haya kutumia maguvu kuwaondoa katika ardhi yao.

Mama huyo wa kimasai akaendelea kusema, watoto wao wamelazimika kukimbia makazi yao kwa sababu kuna majeshi yanatumwa huko kuwaaondoa kinguvu. Akasema wakati watoto wao wanalala maporini katika hatari, yeye Samia watoto wake wako wanaishi raha mustarehe.

Wamasai wakamalizia kwa kusema kuwa, hawataki kuondoka kama ni kufa kheri wafe katika ardhi yao lakini hawataki kwenda huko Tanga.

Unaweza kuwasikiliza hapa.

View attachment 2729379
Wamefanya Uhaini
 
Magufuli hakujua chochote kuhusu uchumi na biashara,siyo rejea sahihi,alikwambia gharama za utafiti mpaka uchimbaji!?..kwa nini hakutoa pesa hazina na kuwekeza kwenye nchi kuchimba rasilimali zake ili tunufaike!?
Labda kama tungekuwa naye hadi leo jamaa alikuwa vizuri kutuongoza
 
Bahati mbaya sijui umri wako wala kiwango chako cha uelewa.
Unaongea kama kwamba umeishi kijijini tangu kuzaliwa kwako mpaka umri huo.
Kwanza mada iliyopo mezani ni kilio cha mama wa kimasai kuhusu kuhamishwa.
Lakini kwa sababu zako binafsi hoja zako zimezama kwenye ubaguzi wa dini na rangi ya ngozi.
Ni kwamba kila kitu unachokiona kimesimama maeneo ya mijini tambua kuna jamii furani za watu wamehamishwa.
Kwa mfano hapa Dar es sakaam, kuanzia Kamata mpaka Uwanja wa ndege kuna watu waliishi hapo miaka kenda, lakini wamehamishwa kupisha barabara ya Nyerere, Viwanda, umeme na mifumo ya maji.
Tukio la karibuni kabisa, wakazi wa Kipawa na Kigilagila wamehamishwa kupisha ujenzi wa uwanja wa ndege 'terminal 3'. Wakazi wa Ubungo mpaka Kiluvya wamehamishwa, tena bila fidia kupisha ujenzi wa barabara ya Morogoro.
Sasa ikiwa kwenye maeneo mengine ya nchi watu wanahamishwa itashindikana vipi kuwahamisha wakazi wa Ngorongoro?
Wewe bi mpuuzi, mjinga. Mpumbavu.

kiufupi, nawasimamia Watanzania, haki, kuondoa watu kwa kisheria zaidi. ,haki zao mazingira yao, zizingatiwe.
 
Unalindaje mazingira kuua wanyama kama mchezo, kusafirisha wanyama, kuwaondoa Wamasai, kujenga hotel, miundombinu kwenye hifadhi?

Ni opposite ya kulinda mazingira ni kuvuruga mazingira na eco system yake yote.
Wazanzibar wana hasira(envy)na utajiri wa bara
 
Back
Top Bottom