Akina mama wakimasai wamwambia Samia asiwaondoe katika ardhi yao ya asili ya ngorongoro.

Utawala wa Samia umegeuka laana tupu kwa watanganyika, ni vilio kila kona huku yeye akiendelea kusema amechagua kunyamaza, hili sijui ni balaa gani tumepewa na Katiba.
Hili ni balaa haswa la kikatiba!yaani kama kisasi kwetu [emoji849][emoji40]
 
Kasema wapi binadamu anafikisha miaka 5000,duu kama uelewa wenu ndo huu kazi ipo.
 
Magufuli hakujua chochote kuhusu uchumi na biashara,siyo rejea sahihi,alikwambia gharama za utafiti mpaka uchimbaji!?..kwa nini hakutoa pesa hazina na kuwekeza kwenye nchi kuchimba rasilimali zake ili tunufaike!?
Umepiga ngumi ya koo jamaa anameza mate kwa shida,hahahaaa!.
 
Wewe bi mpuuzi, mjinga. Mpumbavu.

kiufupi, nawasimamia Watanzania, haki, kuondoa watu kwa kisheria zaidi. ,haki zao mazingira yao, zizingatiwe.
Jf ni uwanja wa hoja.
Ukishindwa kujenga hoja ni heri unyamaze.
Matusi ni dalili za kushindwa kujibu hoja.
 
tusijifiche kwnye kichaka cha warabu ile ni hifadh ya dunia mmasai hatakiwi ni mharibifu.yy ni nani?Akae pale ishtoshe weng wao ni wakenya.masai atoke ngorongoro tulinde hifadh yetu kwa vizaz vijavyo
Mmasai Amekaa palemiaka 5000. Pado bado kuna hifadhi. Walihufadhi kila kitu, wanyama.
 
Labda kama tungekuwa naye hadi leo jamaa alikuwa vizuri kutuongoza
Alikua vizuri wakati uchumi aliuporomosha toka ujuaji wa 7+% mpaka 4+%!! Alikua vizuri katika lipi,propaganda na uwongo kwamba hatukopi miradi tunafanya kwa pesa za ndani!!
 
Bulyanhulu hawakuondolewa bali walizikwa wakiwa hai kwenye mashimo ya Machimbo
Palikua na maneno hayo ndiyo,binafsi sikuwahi shuhudia Hilo zaidi ya kumsikia mrema kwenye kampeni,lakini sidhani Kama jamhuri inaweza zika watu wake wakiwa hai!
 
Wanaume wa Dar unawafananisha na maasai?
 
CCM ya Samia inauza ardhi ya Tanganyika kwa waarabu, hatujajua lengo hasa ni nini?
 
Bhulyanhulu watu waliondolewa miaka ya tisini kupisha mwekezaji achimbe dhahabu,wamasai siyo special..watoke huko

Walioondolewa Bulyanhulu walikuwa wachimbaji wadogo.

Hao ni tofauti na wamasai ambao ni wakazi wa muda mrefu wa eneo husika.

Hata hivyo hakuna sababu ya kufukuza wananchi kwenye maeneo yao wanakojipatia kipato halali kwa ajili ya uwekezaji ambao hauna tija kwa taifa.
 
Umepiga hesabu ukaona uwekezaji hauna tija,una akili timamu!?..popote pale ambapo serikali inataka kufanya lake raia watapisha tu
 
Inasemekana pamejaa
Ratio za ecosystem inayotakiwa zishakataa
Hamna namna lazima wahamishwe otherwise sahauni kitu kinaitwa Ngorongoro
Ngorongoro yenyewe haina faida yoyote zaidi ya kulipana posho mafisadi, kule crater(shiimoni) mbona hakuna hata mfugo wowote wala mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…