Akiondoka usimpokee tena! Hiyo ni sumu ya taratibu, bado hajajifunza lolote

Sio kwamba tuna huruma hapana ila hawa watu huwa kuna kitu cha pekee wanachojivunia.

Aisee unakuta mtu akiwa faragha anaweza kukuua kwa starehe anazokupa. Sasa hata akiondoka unalia. Akirudi unafurahi ukikumbuka mchezo wake unasamehe yanaisha.

Wanaume sio wajinga
 
Mkuu emotional intelligence ni muhimu sana ku-regulate tamaa za mwili usitumie tamaa za mwkli kufanya maamuzi ya kukuumiza the rest of your life.
 
Ila kumbuka wanao shida mitaani ndo hao hao wanao andika mitandaoni kwahiyo ni wale wale na misimamo yao, kumpokea huyu singo maza ni sawa sawa kama kupokea timing bomb.
Upo sahihi, ila si kila watu wanachoandika kwa mitandao ndio uhalisia. Labda nihoji, je Kwenye makundi ya watu unaochangama nao iwe kazini ama kitaa hakuna wanaume waliooa singo mama? Wapo, lakini ajabu kwa mitandao posts ni nyingi za kuwaponda kusema hawafai kuolewa hivyo jiulize wa huku kitaa walio kwa ndoa wameolewa na wanaume wa wapi? Ni hawa hawa.
 
Kweli wameolewa kweli kweli au wanapigwa tu nakuachwa kuna msemo kuoa singo maza mpaka akionyeshe kaburi ya mzazi mwenzie kwanza.......anyway ni misemo tu ila kuna walio bahatika wakapata singo maza wazuri nakuna wengine walio malizwa na hao masingo maza.
 
Nilikuwa na mwanamke ila tukiishi miji tofati kiukweli nilikuwa namjali kwa kila kitu.... ila kiukweli hilo hakuliona kabisa mwaka 2016 akaniambia ana mimba ,shida ilianza baada ya kujifungua mtoto akawa bahati mbaya na baada ya hapo akawa anashindwa kutembea vizuri alikuwa anavuta tu mguu wa kushoto....ndugu zake na ndugu zangu walinilaumu mno kuwa wakati mwenzangu ana mimba niliwahi kuchepuka na wanawake wengine ndio maana ile hali ikatokea ila katika kutafuta matibabu ya ule ugonjwa tukaenda kwa mama mmoja ana maruhani ile kufika tu akapandisha kuwa wewe mama huo ugonjwa chanzo ni wewe hivi kweli wewe ni mtu wa aina gani unatembea na wanaume watatu wakati una mimba ?
 
When it comes to relationships, you're the one who need to have an upper hand and not a woman.
 
Mkuu uliamini ramli chonganishi hiyo? Au mkeo alikubali kwamba ni kweli alitembea na wanaumme watatu
 
Duh! Cheki titi hilo 😍😍😍
 
Hawajuagi tuu watu wanapewa nini huku vyumbani
 
Men haya mambo ni very complex.
You know love is all about emotions, and no matter how strong or smart you are sometimes it is very difficult to control your emotions.
If you really loved her unaweza kupita muda mrefu toka mmeachana na ukaanza kabisa kumsahau au ukamsahau kabisa lakini the moment anakuja na kuanza kujileta leta like hell you will be surprised that you start to feel her.
Narudia it's not that simple, it's not.
But logically hutakiwi kumrudia, lakini narudia inabidi uwe robot πŸ€– ndio iwe rahisi unless you did not love her!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…