Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Upo good 😉Mkuu nimekufariji ki vip? Mimi najua we bado sana hata kama yamesha nyonyoshe wawili au watatu hahaha sio mbaya una figa nzuri naamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo good 😉Mkuu nimekufariji ki vip? Mimi najua we bado sana hata kama yamesha nyonyoshe wawili au watatu hahaha sio mbaya una figa nzuri naamini
Hayo ndio mambo sasa 🤸🤸hayato_arithiri chochote.
😃Hayo ndio mambo sasa 🤸🤸
😄😄Haya mpeleke junior Kwa bibi yake Salasala uje chapu sasa
Sio kwamba tuna huruma hapana ila hawa watu huwa kuna kitu cha pekee wanachojivunia.Wanawake wengi huchukulia huruma ya wanaume kama udhaifu, wengi wanaume wamefilisiki kufa kushindwa maisha kwa huruma wakijinga nina marafiki wengi wanajutia maamuzi yao walio fanya kwa kuongozwa huruma kwa ma ex wao.
Usiwe mjinga wakufikilia kwamba huyu ambae amerudi katika maisha yako karudi kwa mapenzi au kujutia alio fanya, wengi hurudi kwasbabu mambo hayajaenda kama alivo panga na kutegemea, anarudi kwako kwasababu ana kuona we ni Fala wakutafutia unafuu wa maisha, kule aliko enda pamegonga mwamba,
Kumbuka huyu ni mtu ulio mkuta na meno 32 tayari, sio kwamba amerudi kwasbabu anamapenzi nawewe au anakuthamini sanaa kuliko wengine kamwe usidanganyike.
Ameshwa tumikishwa vya kutosha Uhuru aliokua anaulilia haukuzaa matunda amekosa ulinzi, matunzo nk ndoa ni ngumu kwao akiwa ndani ni adimu sana akiwa unaitafuta, usimpokee kama aliondoka mara ya kwanza ataondoka tena haja badilika tabia amerudi sio kukujenga ila kukutumia kwa mipango yake.
We mwanaume jifunze kwamba mwanamke anae ondoka kwa ajili ya faida zake sio rahisi kujutia kitendo chake anarejea kwako baada ya kuona kwamba alichokua anafikiri sio, mitaani ni pangumu sanaa, sio kweli kwamba anatafuta mapenzi kwako laa anafuta kutumia mapenzi kubebwa ajalibishe tena mara ya pili.
Kabla hujamrudisha jiulize haya masuali:
1. Kwanini aliondoka mara ya kwanza.
2. Anasababu za kujiueleza kwanini aliondoka atarudisha je maumivu ilio pitia wakati ule
3. Kaongezeka thamani yoyote baada ya kuondoka au ndo imeshuka zaid anarudisha tu shida zako kwako?
Kupokea singo maza kama huyu haitakusaidia tena badala ndo utakua mwanzo wa anguko lako la milele hawezi kukujenga mwana mke anae penda mme hawezi kuondoka kwasababu kuna mbadala wa maisha sehemu nyingine, mke anae kupenda kwa dhati hata maisha yakiwa magumu kiasi gani ata kuvumilia mda wote atakuthamini ata kuheshimu atakutunzia siri hatakujaribisha nk.
Nb.
Komesheni hao masingo maza kwa kutowapokea tena, ili waache hizo tabia zao za kudanga danga kwa kutafuta 'Green pasture' else where, kwa kujificha kwenye mapenziView attachment 3178807
Mkuu emotional intelligence ni muhimu sana ku-regulate tamaa za mwili usitumie tamaa za mwkli kufanya maamuzi ya kukuumiza the rest of your life.Sio kwamba tuna huruma hapana ila hawa watu huwa kuna kitu cha pekee wanachojivunia.
Aisee unakuta mtu akiwa faragha anaweza kukuua kwa starehe anazokupa. Sasa hata akiondoka unalia. Akirudi unafurahi ukikumbuka mchezo wake unasamehe yanaisha.
Wanaume sio wajinga
Upo sahihi, ila si kila watu wanachoandika kwa mitandao ndio uhalisia. Labda nihoji, je Kwenye makundi ya watu unaochangama nao iwe kazini ama kitaa hakuna wanaume waliooa singo mama? Wapo, lakini ajabu kwa mitandao posts ni nyingi za kuwaponda kusema hawafai kuolewa hivyo jiulize wa huku kitaa walio kwa ndoa wameolewa na wanaume wa wapi? Ni hawa hawa.Ila kumbuka wanao shida mitaani ndo hao hao wanao andika mitandaoni kwahiyo ni wale wale na misimamo yao, kumpokea huyu singo maza ni sawa sawa kama kupokea timing bomb.
Kweli wameolewa kweli kweli au wanapigwa tu nakuachwa kuna msemo kuoa singo maza mpaka akionyeshe kaburi ya mzazi mwenzie kwanza.......anyway ni misemo tu ila kuna walio bahatika wakapata singo maza wazuri nakuna wengine walio malizwa na hao masingo maza.Upo sahihi, ila si kila watu wanachoandika kwa mitandao ndio uhalisia. Labda nihoji, je Kwenye makundi ya watu unaochangama nao iwe kazini ama kitaa hakuna wanaume waliooa singo mama? Wapo, lakini ajabu kwa mitandao posts ni nyingi za kuwaponda kusema hawafai kuolewa hivyo jiulize wa huku kitaa walio kwa ndoa wameolewa na wanaume wa wapi? Ni hawa hawa.
Akili kichwaniMambo ya mitandaoni sio ya kuamini hata kidogo.
Nyie kafieni mbeleKwahiyo sisi wenye chuchu twelve o'clock tufe tu?🤔
Mapezi huxhukua sehemu kubwa ya maisha yetu huwezi kuaepuka lazima ya jadiliwe.Bado mnateseka na mapenzi [emoji81]
When it comes to relationships, you're the one who need to have an upper hand and not a woman.Sio kwamba tuna huruma hapana ila hawa watu huwa kuna kitu cha pekee wanachojivunia.
Aisee unakuta mtu akiwa faragha anaweza kukuua kwa starehe anazokupa. Sasa hata akiondoka unalia. Akirudi unafurahi ukikumbuka mchezo wake unasamehe yanaisha.
Wanaume sio wajinga
Mkuu uliamini ramli chonganishi hiyo? Au mkeo alikubali kwamba ni kweli alitembea na wanaumme watatuNilikuwa na mwanamke ila tukiishi miji tofati kiukweli nilikuwa namjali kwa kila kitu.... ila kiukweli hilo hakuliona kabisa mwaka 2016 akaniambia ana mimba ,shida ilianza baada ya kujifungua mtoto akawa bahati mbaya na baada ya hapo akawa anashindwa kutembea vizuri alikuwa anavuta tu mguu wa kushoto....ndugu zake na ndugu zangu walinilaumu mno kuwa wakati mwenzangu ana mimba niliwahi kuchepuka na wanawake wengine ndio maana ile hali ikatokea ila katika kutafuta matibabu ya ule ugonjwa tukaenda kwa mama mmoja ana maruhani ile kufika tu akapandisha kuwa wewe mama huo ugonjwa chanzo ni wewe hivi kweli wewe ni mtu wa aina gani unatembea na wanaume watatu wakati una mimba ?
Duh! Cheki titi hilo 😍😍😍Wanawake wengi huchukulia huruma ya wanaume kama udhaifu, wengi wanaume wamefilisiki kufa kushindwa maisha kwa huruma wakijinga nina marafiki wengi wanajutia maamuzi yao walio fanya kwa kuongozwa huruma kwa ma ex wao.
Usiwe mjinga wakufikilia kwamba huyu ambae amerudi katika maisha yako karudi kwa mapenzi au kujutia alio fanya, wengi hurudi kwasbabu mambo hayajaenda kama alivo panga na kutegemea, anarudi kwako kwasababu ana kuona we ni Fala wakutafutia unafuu wa maisha, kule aliko enda pamegonga mwamba,
Kumbuka huyu ni mtu ulio mkuta na meno 32 tayari, sio kwamba amerudi kwasbabu anamapenzi nawewe au anakuthamini sanaa kuliko wengine kamwe usidanganyike.
Ameshwa tumikishwa vya kutosha Uhuru aliokua anaulilia haukuzaa matunda amekosa ulinzi, matunzo nk ndoa ni ngumu kwao akiwa ndani ni adimu sana akiwa unaitafuta, usimpokee kama aliondoka mara ya kwanza ataondoka tena haja badilika tabia amerudi sio kukujenga ila kukutumia kwa mipango yake.
We mwanaume jifunze kwamba mwanamke anae ondoka kwa ajili ya faida zake sio rahisi kujutia kitendo chake anarejea kwako baada ya kuona kwamba alichokua anafikiri sio, mitaani ni pangumu sanaa, sio kweli kwamba anatafuta mapenzi kwako laa anafuta kutumia mapenzi kubebwa ajalibishe tena mara ya pili.
Kabla hujamrudisha jiulize haya masuali:
1. Kwanini aliondoka mara ya kwanza.
2. Anasababu za kujiueleza kwanini aliondoka atarudisha je maumivu ilio pitia wakati ule
3. Kaongezeka thamani yoyote baada ya kuondoka au ndo imeshuka zaid anarudisha tu shida zako kwako?
Kupokea singo maza kama huyu haitakusaidia tena badala ndo utakua mwanzo wa anguko lako la milele hawezi kukujenga mwana mke anae penda mme hawezi kuondoka kwasababu kuna mbadala wa maisha sehemu nyingine, mke anae kupenda kwa dhati hata maisha yakiwa magumu kiasi gani ata kuvumilia mda wote atakuthamini ata kuheshimu atakutunzia siri hatakujaribisha nk.
Nb.
Komesheni hao masingo maza kwa kutowapokea tena, ili waache hizo tabia zao za kudanga danga kwa kutafuta 'Green pasture' else where, kwa kujificha kwenye mapenziView attachment 3178807
Hawajuagi tuu watu wanapewa nini huku vyumbaniSio kwamba tuna huruma hapana ila hawa watu huwa kuna kitu cha pekee wanachojivunia.
Aisee unakuta mtu akiwa faragha anaweza kukuua kwa starehe anazokupa. Sasa hata akiondoka unalia. Akirudi unafurahi ukikumbuka mchezo wake unasamehe yanaisha.
Wanaume sio wajinga