Akiondoka usimpokee tena! Hiyo ni sumu ya taratibu, bado hajajifunza lolote

Tatizo unafiki, washkaji zangu kibao walikua na mitazamo hii sioi single mother, akizingua natimua, sioi mapema etc wengi wameoa single mothers [emoji16][emoji16]
Hao vijana walio oa singo maza ni wa wapi uko? Kwetu wote Walisha ambizana hamna kuoa singo maza hata iwe je walijifunza kolicho watokea wenzao.
 
Hoja ni ya msingi sana kwani tuliowahitendwa na kuweka huruma yaliyotokea mleta mada kama alikuwepo vile.Huku ni kujitafutia kifo bure na hoja ya watoto kuteseka jitathmini mwenyewe mwanaume kwa yafuatayo:1.Kukuasi wewe ni kwa sababu aliona pema zaidi ya hapo kwako.2.Alipopema na kukuta si pema aligundua kuwa kaharibu palipokuwa pema hapo awali.3.Umejiridhishaje kama safari yake ya kusaka pema imefikia ukomo?4.Ka kuwa mzunguko wote huo hakukuamini kama wawezawalea vema watoto na hivyo kote alikopema alipema na wanae,je hiyo huruma yako imetoka wapi wakati yeye alikuacha kama ulivyo?
 
Wakati anaondoka alitamani asikuachie chochote na hakuhurumia inakuaje wewe unaingiwa na huruma ya kurusisha hiyo sheitani? Wengi wanakifa kiujinga hivo hivo
 
Back
Top Bottom