Akothee single mama mwenye watoto watano aolewa leo

Akothee single mama mwenye watoto watano aolewa leo

Huyo mwanaume nae ana watoto wangapi??
Wanaume wabinafsi sana hasa hapa kwetu mwisho wengi huishia.kunyanyasika otherwise upate muelewa au uwe na kipato...
Sio pesa ni mapenzi I have a friend Five kids Hana lolote anaolewa June shogaaa
Ubinafsi TU wa wanaume kwenye Mali ndo kunawafanya wasioe single mother hakuna lolote zaidi ya hiloo
Mwanamke anaweza olewa mwanaumee mwenye 10kids na inakua kawaida t
 
.......hayo maswala ya kuwabeza, kuwananga na kutowaoa singo mama naona yako zaidi mijini na inategemea desturi za mikoa na mikoa tu, coz huku niliko, naona wanaolewa na kuachwa hata mara tatu....... ...........wenyewe wanawaita wasimbe, unakutana na mama ana watoto saba lakini bado ana ndoto na matarajio makubwa tu ya kuolewa na kijana mbichi na mtanashati, na ana jeuri ya kuchagua mwanaume........
 
Haya haya mama mwenye watozo watano leo kaolewa huko Kenya
View attachment 2583482
Ujumbe huu uwafikie kataa ndoa na wanaosema kila kukicha single mamaa mpooo

Hakuna ndoa pale! Yule ni malaya tu kama malaya wengine.

Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kuishi na yule mwanamke hata wiki moja.
 
Back
Top Bottom