Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakaziaukiwa na hela sio single mama
akothee ni shangazi
[emoji23] [emoji23]Maneno tu humu ndani
Eti sasa hivi wamebadili jina hawatuiti single mom wanatuita shangaziKama nyie tu mnavyobadili ngoma droo
sawa ila sio nzuri kwa afya....especially ya watoto..Kama nyie tu mnavyobadili ngoma droo
kama una hela=shangazi, kama una watoto tu, huna hela=single maza....ni rahisi tu.Eti sasa hivi wamebadili jina hawatuiti single mom wanatuita shangazi
YeahKila mtu na riziki yake
Sio shangazi ni aunt ☺️Eti sasa hivi wamebadili jina hawatuiti single mom wanatuita shangazi
Hakuna kitu mkuu hebu mtaje mmoja anayenata.Sema mashangazi wa humu wana nata kinomaaa. [emoji28][emoji28]
Ana thamani kwa aliyemzalisha sio mimiSingle mother ni neno linalotumika kumfanya mwanamke kuwa weak.. ila mwanamke alie jifungaa ( kuzaa na kulea ), anathamani kubwa kuliko ambae hajazaa
Daaahkama una hela=shangazi, kama una watoto tu, huna hela=single maza....ni rahisi tu.
Aunt si akiwa na hela asipokuwa nazo ndio shangaziSio shangazi ni aunt [emoji3526]
Single mom na single parent ni vitu viwili tofautiHAKUNA KITU KINAITWA SINGLE MAMA BALI Single parent
Kwani shida ni single mom, shida watu njaaLakin ni single mom