Akothee single mama mwenye watoto watano aolewa leo

Akothee single mama mwenye watoto watano aolewa leo

Nachomkubali huyo sister ni go getter, ashawahi kua dreva taxi huku ana mimba apo katelekezwa na mzaz mwenzie.. sitoshangaa ata hiyo harusi kama kasimamia show yote ni go getter wa kweli

Ukiona huolewi, komaa ujioleshe mwenyewe wanaume wenyewe wanazidi kuisha kwa kasi kama maandishi yanavosema
 
Huyo mwanaume nae ana watoto wangapi??
Wanaume wabinafsi sana hasa hapa kwetu mwisho wengi huishia.kunyanyasika otherwise upate muelewa au uwe na kipato...
Ana two kids
Kunyanyasa wanaume kawaida Yao ni vile we utamuintatein...!!!yaani kupambana asinyanyase watoto wako baasi
Ni Mali TU hakuna kingine kinawafanya waumie nafsi
 
Back
Top Bottom