Man Rody
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,263
- 2,987
Nachomkubali huyo sister ni go getter, ashawahi kua dreva taxi huku ana mimba apo katelekezwa na mzaz mwenzie.. sitoshangaa ata hiyo harusi kama kasimamia show yote ni go getter wa kweli
Ukiona huolewi, komaa ujioleshe mwenyewe wanaume wenyewe wanazidi kuisha kwa kasi kama maandishi yanavosema
Ukiona huolewi, komaa ujioleshe mwenyewe wanaume wenyewe wanazidi kuisha kwa kasi kama maandishi yanavosema