Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

alisababisha mauaji ya watu wasio na atia hata yeye yuko anapambana na adhabu ya kablini moto kwenda mbele

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Atia❌
Kablin❌

Mauaji gani ya watu wasio na hatia? Wewe umemwona lini akiwa anapambana na adhabu ya kaburini kama siyo kudanganyana na wenzio kwenye vijiwe vya bao na draft?
 
Bora ya utumwani kuliko kuwa utumwani kwa mswahili, mswahili mwenzako. Ni asilimia 10 ya watu ndio wanaofurahia matunda ya UHURU.
Mtu anaetumikishwa viwandani analipwa elf 5 kwa masaa 10 huyu ana matunda gani anayofurahia
 
Umewaona hao wamakunduchi hali waliyonayo hivi sasa baada ya hayo mavamizi ? au unaropokwa tu
 

Hata jiwe angavu unaweza kujiita field marshal ndio utakuwa kweli ni field marshal . Hiyo wikipedia si kuna mtu amewaandikia au wikipedia ni msahafu huwezi kubadilisha kitu ??

Field marshal afukuzwe kama kuku kweli huyo ni Field marshal 😛😛
 
Mnachihangu,
Mtake radhi Maalim Faiza.
Hivi kumbe Maalim inaweza kutumika kwa mwenye jina la kike/mwanamke kama Faiza? Nimekuwa nikisikia tu ikitumiwa kwa wanaume.
NB: Siijui jinsia ya FaizaFoxy, nimeuliza tu kuongeza ufahamu.
 
Hivi haya majina ya baadhi ya sehemu huko Zanzibar kama Makunduchi, Mchambawima, nk. asili yake ni nini?
 
Hivi kumbe Maalim inaweza kutumika kwa mwenye jina la kike/mwanamke kama Faiza? Nimekuwa nikisikia tu ikitumiwa kwa wanaume.
NB: Siijui jinsia ya FaizaFoxy, nimeuliza tu kuongeza ufahamu.
James...
Jina litabadilika katika maandishi kwani Kiarabu kina masculine na feminine.

Ukisoma unajua huyu ni mwalimu mwanamme au mwanamke.
 

Hoja ya kitoto kabisa,hivi una umri gani kwanza ?
 
Hoja ya kitoto kabisa,hivi una umri gani kwanza ?


Wewe mwenye umri mkubwa, Field marshal kweli atafukuzwa kiulaini kama alivyofukuzwa Field marshal wa karatasi Okello ?? Kazi ipo
 
Anafukuzwa tu. Alifukuzwa Idd Amin na alikuwa na Jeshi. Atakuwa huyu John mgeni
 
Iddi Amin hakufukuzwa Kama chizi mwenzako Okello aliyejiita Field Marshall
Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa Wazanzibar
 
Ni machizi tu ndiwo wa kumkumbuka chizi mwenzao 😝😝😝😝
Ndiwo ❌
Ndiyo ✅
Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa Wazanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…