Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
James...1998
Ahsante sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
James...1998
Mzee siku hizi umekuaje, wakati huo si kwamba lazma uwe na jeshi bali uwe na uwezo wa kuwaongoza wenzio katika harakati kama hizo .John Okello akataliwi kwa misingi ya ukweli wa mambo au Historia bali kwasababu ya udini (dini) yake ,jina na nchi alikotoka. Na ajabu ni kua Okello anakataliwa na mabaki ya wana wa Sultan ingawa wajuvi na wajuzi wa ukwweli wa mambo ya Historia za mapinduzi kamwe hatuwezi kumuacha John Okello.Bish...
Nafananisha historia ya Okello inavyojaribiwa kuelezwa na historia ya uhuru wa Tanganyika.
Okello anataka kufanywa kuwa bila yeye mapinduzi yasingewezekana ilhali mapinduzi yalipangwa Tanganyika na wahusika wote wanafahamika kwa majina.
Jina la Okello halimo kama yalivyokuwa hayamo majina ya wengi walioshiriki katika mapinduzi hayo.
Kama si sauti yake kusikika Sauti ya Unguja hakuna angejua kuwa kuna mtu anaitwa John Okello kama vile ambavyo hakujulikana Abeid Mmasai na Mohamed Omar Mkwawa.
Historia ya uhuru wa Tanganyika ilijengwa hivyo utalisikia jina la Julius Nyerere kachukua uongozi mwaka 1953 haielezwi kachukuaje au kachukua kutoka kwa nani nk nk.
Kitabu cha Abdul Sykes kilipokuja kutoka 1998 kishindo chake kikawa kikubwa.
Leo inaelezwa kuwa Okello alikuwa sehemu ya "drama" ya ASP kuwa tangazo la mapinduzi linatangazwa na mtu lafidh yake ya Kiswahili haifahamiki na wengi hamtaki kuamini.
Na kitu cha kuchekesha ni kuwa mnaamini kuwa mapinduzi yalifanywa na Field Marshall ambae hata jeshi hana.
Bishweko,Mzee siku hizi umekuaje, wakati huo si kwamba lazma uwe na jeshi bali uwe na uwezo wa kuwaongoza wenzio katika harakati kama hizo .John Okello akataliwi kwa misingi ya ukweli wa mambo au Historia bali kwasababu ya udini (dini) yake ,jina na nchi alikotoka. Na ajabu ni kua Okello anakataliwa na mabaki ya wana wa Sultan ingawa wajuvi na wajuzi wa ukwweli wa mambo ya Historia za mapinduzi kamwe hatuwezi kumuacha John Okello.
Wala swala sio kukuamini ,kumbuka katika utafiti wako tayari ulikua na upande na fikra hasi dhidi yake. Kwahiyo atuwezi kutarajia mazuri au ukweli kutoka kwako. Lakini pia kumbuka kuna wengi tunaofanya kazi za kitafiti kuhusu mapinduzi ya Znzibara na Harakati za kutafuta Uhuru wa mwana wa Afrika . John Okello aliongoza wenzie kufanya mapinduzi dhidi ya Sultan Jamshid na kuiweka Zanzibar huru.Bishweko,
Nimemweleza John Okello kama nilivyomtafiti.
Si lazima uniamini.
Najua humpendi shujaa okelo kwa sababu sio muislamu na hakutokea kariakoo!!!Sources zako za habari watu wa ASP na TANU hatuzikubali labda wanachama wa hizbuCity...
City...
Okello anabebeshwa mzigo si wake.
ASP haikuwa na uwezo wa kupindua serikali.
Mipango yote ilifanyika Dar es Salaam ikisimamiwa na Oscar Kambona na Abdullah Kassim Hanga.
Waliweka kambi Kipumbwi ambako waliwaweka Wamakonde kutoka shamba la Mkonge la Sakura kwa ajili ya kuwavusha kuingia Zanzibar kuIpigIa kura ASP na kushiriki katika mapinduzi.
Kambi hii ilikuwa chini ya Ali Mwinyi Tambwe akiwa District Commissioner wa Tanga na Regional Commissioner Jumanne Abdallah.
Waliopewa kazi ya kuchagua vijana wa kuletwa kambini Kipumbwi walikuwa Victor Mkello kiongozi wa chama cha wakata mkonge na Mohamed Omar Mkwawa kijana wa Kidigo kutoka Tanga aliyepatakuwa mwanachama hodari wa ASP.
Ali Mwinyi Tambwe wakati wa ukoloni aliwatumikia Waingereza kama "mole" wao ndani ya TAA kisha TANU.
Mkwawa yeye ndiye aliyekuwa akiwavusha hawa Wamakonde kuwaingiza Zanzibar usiku kwa majahazi wote wamevaa kama wavuvi wa Kidigo.
Kipumbwi yote ilikuwa imezuiwa kwa watu kuingia ovyo.
Hawa Wamakonde ndiyo walioua Waarabu wengi wakulima wa kawaida tu waliokuwa mashambani Zanzibar.
Mpango huu ulifanyika kwa siri kubwa sana.
Mzanzibari aliyepata kufika Kipumbwi inasemekana ni Jimmy Ringo ambae aliuliwa baada ya mapinduzi kama walivyouliwa wana ASP wengine.
John Okello hakuwa katika mipango hii.
Kilichompa umaarufu ni kule yeye kupewa radio kutangaza kuwa serikali imepinduliwa na Karume arejee Zanzibar kukalia kiti chake.
FactsWala swala sio kukuamini ,kumbuka katika utafiti wako tayari ulikua na upande na fikra hasi dhidi yake. Kwahiyo atuwezi kutarajia mazuri au ukweli kutoka kwako. Lakini pia kumbuka kuna wengi tunaofanya kazi za kitafiti kuhusu mapinduzi ya Znzibara na Harakati za kutafuta Uhuru wa mwana wa Afrika . John Okello aliongoza wenzie kufanya mapinduzi dhidi ya Sultan Jamshid na kuiweka Zanzibar huru.
Bishweko,Wala swala sio kukuamini ,kumbuka katika utafiti wako tayari ulikua na upande na fikra hasi dhidi yake. Kwahiyo atuwezi kutarajia mazuri au ukweli kutoka kwako. Lakini pia kumbuka kuna wengi tunaofanya kazi za kitafiti kuhusu mapinduzi ya Znzibara na Harakati za kutafuta Uhuru wa mwana wa Afrika . John Okello aliongoza wenzie kufanya mapinduzi dhidi ya Sultan Jamshid na kuiweka Zanzibar huru.
Nelson...Najua humpendi shujaa okelo kwa sababu sio muislamu na hakutokea kariakoo!!!Sources zako za habari watu wa ASP na TANU hatuzikubali labda wanachama wa hizbu
Che...Naweka siti ya kupata madini ya wataalamu.
Che...Hata hivyo Mzee saidi, Okello alikuwa sehemu ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 64. Hapa namaanisha alishiriki kikamilifu kabisa katika harakati na vita iliyo angusha utawala wa Sultani...
Kwanini kusiwe na uhakika kuwa aliandika kitabu hicho? Kuna mtu amewahi kujitokeza na kusema kuwa ni yeye aliandika kitabu hicho na si Okello?Che...
Hakuna uhakika kama kitabu hicho chake ni mkono wake ulioandika.
James,Kwanini kusiwe na uhakika kuwa aliandika kitabu hicho? Kuna mtu amewahi kujitokeza na kusema kuwa ni yeye aliandika kitabu hicho na si Okello?
Mzee asalam aleikum,hii ni February 2023 huu mjadala umeletwa January kwa bahati mbaya nilichelewa kuuona..kila mtu kaweka hoja yake humu kwa jinsi anavyoelewa yeye mchango wa John okeloFather...
Okello alikuwa fedheha kwa ASP.
Maneno aliyokuwa anatoa yalimfanya Karume na mapinduzi yawe kichekesho...
Tad...Mzee asalam aleikum,hii ni February 2023 huu mjadala umeletwa January kwa bahati mbaya nilichelewa kuuona..kila mtu kaweka hoja yake humu kwa jinsi anavyoelewa yeye mchango wa John okelo....
Come on mzee wangu! Kwenye hiyo video swali la pili la mwandishi linamdondokea John Okello baada ya swali la kwanza kujibiwa na karume muendelezo wa swali anaulizwa John Okello mwandishi anauliza "by what means mr Field marshall as the LEADER of the revolution army......" hadi hapo hujaamini kwamba John alikuwa ni kiongozi wa jeshi la mapinduzi!? You have to fheck the video mzee,Tad...
Hiyo video ndiyo inasema kuwa Okello ndiyo kiongozi wa mapinduzi?
Ushahidi wako ni mazungumzo hayo?
Inabidi usome historia ya mapinduzi kuweza kujua ukweli.
Tadpole,Come on mzee wangu! Kwenye hiyo video swali la pili la mwandishi linamdondokea John Okello baada ya swali la kwanza kujibiwa na karume muendelezo wa swali anaulizwa John Okello mwandishi anauliza "by what means mr Field marshall as the LEADER of the revolution army....
Nimekwambia tangu mwanzo siwez kusoma kitabu ambacho mara nyingi kinakuwa na interest na kundi/mtu fulani....Tadpole,
Haya mimi nina uzoefu mkubwa.
Historia ya Tanganyika ina matatizo makubwa sana...
Tad...Nimekwambia tangu mwanzo siwez kusoma kitabu ambacho mara nyingi kinakuwa na interest na kundi/mtu fulani....
Suala lilikuwa ni video umeangalia hiyo video kuona kile ambacho nimekwambia ya kwamba kwenye mahojiano Okello anatambulika kuwa ni kiongozi wa jeshi la mapinduzi!?