Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

Alitumika kama liability
Hii spin inakusaidia nini wewe? Mpeni Field Marshall John Okello maua yake. Bila yeye hakuna mmatumbi wa Unguja angethubutu kumkabili Mwarabu.

Okelo.png

Huyu ndiye Field Marshall John Okello, Baba wa taifa la Zanzibar, Jemadari wa Mapinduzi na Mwenyekiti aliyeongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi baada ya kumtimua Sultani na serikali yake ya kibaguzi! Mengine yote ni spin tu za watu wasio na ujasiri wa kuukabili ukweli huo!
 
Hii spin inakusaidia nini wewe? Mpeni Field Marshall John Okello maua yake. Bila yeye hakuna mmatumbi wa Unguja angethubutu kumkabili Mwarabu.

View attachment 2671776
Huyu ndiye Field Marshall John Okello, Baba wa taifa la Zanzibar, Jemadari wa Mapinduzi na Mwenyekiti aliyeongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi! Mengine yote ni spin tu za watu wasio na ujasiri wa kuukabili ukweli huo!
bila huyu kafiri, zenji ingekuwa chini ya mwarabu hadi kesho. though sasaivi wanatamani warudi kulekule. by the way, sioni picha ya karume hapo, alikuwa wapi wakati wenzake wanapindua mwarabu?
 
bila huyu kafiri, zenji ingekuwa chini ya mwarabu hadi kesho. though sasaivi wanatamani warudi kulekule. by the way, sioni picha ya karume hapo, alikuwa wapi wakati wenzake wanapindua mwarabu?
Karume? Alikuwa kajificha Tanganyika!
 
Mohamed Omari Mkwawa alishiriki katika mapinduzi lakini hatambuliki hali kadhalika Victor Mkello, Ali Mwinyi Tambwe, Aboud Mmasai wengi tu.
KUtokutambulika kwa watu hawa hakufanyi wale wanaotambulika wazimwe ule utambulikaji wao.

Wanaotambulika kama vile okello tuwaache watambulike kwa mchango wao na ikiwezekana tusaidie watambulike zaidi kwa huo MCHANGO WAO.

Wasiotambulika zifanyike juhudi za kuwatambulisha bila kuwazima ama kupoteza utambulisho wa wale waliofahamika kama vile okello.

Mzee wangu naona watu wakimtaja okello na kumtambua huwa unaweka hoja ya kwamba kuna watu kibao hawafahamiki katika historia,sasa KUtokufahamika kwao hakufanyi watu wasimfahamu okello.

Lakini pia kwa mujibu wa elimu niliyoipata kwako kwwmba okello alipewa kazi ya kutangaza mapinduzi kwa sababu ya lafudhi yake,JE ULITEGEMEA KWA KAZI HII ASIWE MAARUFU KAMA AMBAVYO ANAPEWA VYEO KWAMBA NI BABA WA MAPINDUZI ?

kama alivyokuwa mzee jecha aliyefuta uchaguzi wa zanzibar mwaka 2015 si alikuwa maarufu kwa tukio hilo na watu wote husema hivyo,sasa na okello apewe sifa yake kwa namna ambavyo alifanya isiongezwe chumvi.
 
Hawa Wamakonde ndiyo walioua Waarabu wengi wakulima wa kawaida tu waliokuwa mashambani Zanzibar.
Samahani mzee wangu,mimi najifunza sana kupitia kuuliza huku nikitanguliza hoja,siulizi tu huwa nauliza kwa hoja.

Swali na hoja yangu.

kauli yako hii ni kana kwamba WAMAKONDE waliua waarabu wasio na hatia huko mashambani kwa jina la mapinduzi(kama sivyo utakanusha).

Je kama wamakonde waliua waarabu wa mashambani wa kawaida wakulima,je ina maana wazanzibari halisi walikuwa hawakai shamba ?

Walikuwa wanakaa mijini hao wazenji halisi ?

JE MBALI NA waarabu wa kawaida waliouwawa huko mashambani,je waarabu ambao sio wa KAWAIDA walikuwa ni wepi na walikuwa wanapatikana wapi zenji kwa wakati huo ?
 
Huyu Mzee Msomi mbovu amejikita katika kuwatetea Waarabu na Waislamu tu basi.
Ili waonekane kuwa ni watu wema siku zote. Hakuna Mwislamu muovu wala Muarabu Mbaya kwa maoni yake yeye.
Yeye binafsi nadhani hakuyapenda mapinduzi ya Zanzibar, kwakuwa tu yaliuondosha utawala wa Sultani na waliouleta Uislamu.

Nadhani moyoni mwake ana uchungu mwingi kuhusu kinyume na hizo fikra.
Nafsi yake ni Mwarabu na Mwislamu safi.
Nampa pole kwa magumu anayopitia.
 
Karume? Alikuwa kajificha Tanganyika!
zaidi sana usisahau allegation kwamba, pamoja na kwamba alikuwa zenji, na alipigania zenji, karume alikuwa na asili ya Malawi. hadi kesho malawi kuna kina karume wengi sana. hivyo hata huyo Mganda kama angeamua kubaki zenji, angekuwa mzanzibar kama tu alivyo fatuma karume.
 
Mara nyingi naona mapinduzi anayataja kwa "mauaji" tena mauwsji ambayo waliyafanya wamakonde dhidi ya waarabu wa kawaida wakulima mashambani.

Nadhani hii kauli ya kusema kwamba ni "MAUWAJI" inaleta ukakasi kwa mtafiti huyu mzee Mohammed Said

Kama yeye ni mtafiti wa historia ilikuwa anukuu vile vile kama historia inavyosema kwamba NI MAPINDUZI NA SIO MAUWAJI.

Anaposema ni mauwaji tu anageuka hawi tena mtafiti bali anakuwa anafanya mambo kwa personal interest.

Maana kama ni mtafiti huru hawezi kuita mapinduzi kwamba ni mauwaji alafu bado ukajiita ni mtu uliyefanya research ya historia.
 
Mzee anaishi kwa maumivu mengi sana.
Na angekuwa Kiongozi wa nchi sisi tusio Waislamu na Waarabu tungepata taabu nyingi sana.

Nadhani angeanzisha nchi ya Waislamu na Waarabu tu basi.

Hiyo ilikuwa ndoto yake kuu.
Ndio maana pamoja na usomi wake Mwenyezi Mungu alimnyima madaraka.

Maana hata sisi tusio Waislamu na Waarabu ni viumbe wa huyo huyo Mwenyezi Mungu wake.

Huyo Mzee na FaizaFoxy, wanawaza Uislamu na Uarabu tu basi. Hao wengine ni Wakuchinjwa tu. Hawana maana na hawafai kabisa.

Mwenyezi Mungu awape maisha marefu wajifunze Upendo kwa wasio Waislamu. Waarabu.
Umeniita?

Sema utakacho, nipo huku sasa hivi:

Umeniita?

Sema utakacho, nipo huku sasa hivi:

Ndio nimerudi toka Dubai usiku huu na nimeshuhudia mapenzi makubwa kwa Dubai kwa Tanzania
Wanasema tuwaambie tu tunacho taka kwa ustaarabu watatusikiza.

Dubai hawana haja ya kupora ardhi ya Tanzania. Walitoa tu mapendekezo yao. Na ilibidi tuwajibu kwa ustaarabu tu basi.

Yaani Mama Samia tumchague tena.
 
"tumchague tena"? kwani lini sisi tulimchagua, au unajiona na wewe ni Mungu?

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao.

Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari za Mwanamapinduzi aliyesaidia kuipatia Zanzibar Uhuru wake John Okello.

Kwa his disappointment alishtuka kuambiwa the Man alifukuzwa mara baada ya kumaliza jukumu lililomleta Zanzibar kuwaondoa Waarabu waliokuwa wakiitawala Zanzibar.Aliwaokoa Waafrika kutoka kutawaliwa walipopata tu uhuru wakamfukuza.

John Okello Baba wa Taifa la Zanzibar ataendelea kukumbukwa kila tutakapoadhimisha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Baada ya hapo John Okello alirudi kwao kwenda kuendeleza mapambano dhidi ya udhalimu na hatimaye alikuwa kama mtu wa kawaida tu pasipo makuu. Hakulipwa yeye wala familia yake. Kabla ya Mwaka 1967 Che Guevara kufariki aliwahi mtumia mzee wangu barua akimtaka amtafute John Okello wajiunge naye kwenye harakati huko Msumbiji na Angola.

Mzee hakujua aanzie wapi.

Pia Soma Sasa ni wakati wa Zanzibar kumtambua baba wa taifa huru la Zanzibar John Okello
Hivi anayeamua fulani kuwa baba wa taifa la Zanzibar, si ni wazanzibari wenyewe, iweje wageni muwachagulie?? Wao washaamua huyo hawamtambui, mnawatafuta kitu gani,
 
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

Okello Njoo uwarudishe hawa maharamia na
20141018_MAP004_0.jpg
wasaliti makwao
 
Hivi anayeamua fulani kuwa baba wa taifa la Zanzibar, si ni wazanzibari wenyewe, iweje wageni muwachagulie?? Wao washaamua huyo hawamtambui, mnawatafuta kitu gani,
WAACHE UJINGA. HAWAMTAMBUI KIVIPI MTU KAWAOKOA UTUMWANI? WAACHE CHUKI NA UJINGA. HUYU NDO BABA YAO WA TAIFA.
 
zaidi sana usisahau allegation kwamba, pamoja na kwamba alikuwa zenji, na alipigania zenji, karume alikuwa na asili ya Malawi. hadi kesho malawi kuna kina karume wengi sana. hivyo hata huyo Mganda kama angeamua kubaki zenji, angekuwa mzanzibar kama tu alivyo fatuma karume.
Kati ya mambo ya kihuni yaliyofanywa wkt wa Nyerere ni hili la kumsafirisha okelo hadi Kenya na kumdampu huko bila hata Senti mfukoni.
 
Msikilize hapo akiongea akiwa na Karume.

Kijana mdogo sana miaka 29 akapindua nchi. Bila Okello Zanzibar ingekua bado chini ya Sultani.

Okello tutakukumbuka Daima, haijalishi umekufa ila kumbukumbu yako haitafutika.

Bora Sultan mara zaidi ya elfu kuliko hawa vibaraka wa Dodoma, kazi yao ni kuifisidi nchi
 
Back
Top Bottom