Mzee anaishi kwa maumivu mengi sana.
Na angekuwa Kiongozi wa nchi sisi tusio Waislamu na Waarabu tungepata taabu nyingi sana.
Nadhani angeanzisha nchi ya Waislamu na Waarabu tu basi.
Hiyo ilikuwa ndoto yake kuu.
Ndio maana pamoja na usomi wake Mwenyezi Mungu alimnyima madaraka.
Maana hata sisi tusio Waislamu na Waarabu ni viumbe wa huyo huyo Mwenyezi Mungu wake.
Huyo Mzee na
FaizaFoxy, wanawaza Uislamu na Uarabu tu basi. Hao wengine ni Wakuchinjwa tu. Hawana maana na hawafai kabisa.
Mwenyezi Mungu awape maisha marefu wajifunze Upendo kwa wasio Waislamu. Waarabu.