Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #201
Atia❌alisababisha mauaji ya watu wasio na atia hata yeye yuko anapambana na adhabu ya kablini moto kwenda mbele
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kablin❌
Mauaji gani ya watu wasio na hatia? Wewe umemwona lini akiwa anapambana na adhabu ya kaburini kama siyo kudanganyana na wenzio kwenye vijiwe vya bao na draft?