Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

Ndiwo ❌
Ndiyo βœ…
Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa Wazanzibar
Thanks chizi kwa uchizi😝😝😝😝😝
 
Thanks chizi kwa uchizi😝😝😝😝😝
Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa Wazanzibar
 
Thanks chizi kwa uchizi😝😝😝😝😝
Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa Wazanzibar
 
Thanks chizi kwa uchizi😝😝😝😝😝
Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa Wazanzibar
 
Thanks chizi kwa uchizi😝😝😝😝😝
Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa Wazanzibar
 
Mm upande wangu, mapinduzi ya Zanzibar yaliletwa na vijana kutoka Asp, wakulima wa mkonge kutoka Tanga na John Okello kutoka Uganda.
Maana kuna kaudini kanaingia ila hakana msaada. Kulikua na walio na wasio na dini, wakashirikiana kuleta uhuru. Sasa tulio na dini tumebaki kubishana
 
Upo sahihi kabisa.
 

Msikilize hapo akiongea akiwa na Karume.

Kijana mdogo sana miaka 29 akapindua nchi. Bila Okello Zanzibar ingekua bado chini ya Sultani.

Okello tutakukumbuka Daima, haijalishi umekufa ila kumbukumbu yako haitafutika.
Sijui kuna tatizo gani kwa sisi vijana wa leo..Katika umri huo wa 29 yrs zaman wlikua wana accomplish heavy achievements ila kwa miaka hii kijana wa miaka hiyo hiyo hata bundle tu ya internet ni shida..

Vijana hawana ushawishi hata kidogo..They cant even lead a mob of 5 people to bring changes..Tumekua waoga kupitilizaa..wapumbavu kweli kwel wasio na tumaini la kesho......hakuna uthubutu wa ku tackle scary issues ili kuleta mabadiliko tumebaki kuimba wimbo wa maisha magumu tuuuu kama wanawakee..Nani katuroga sisi...very painful..No wonder watawala hawaogop kufanya ubadhirifu kweupe wakijua fika vijana waliopo wakitishwa kidogo tu wanaufyata
 
hata wamfiche vipi, historia inabaki palepale, Mganda aliwasaidia wazenji, peke yao walishindwa. wawe na shukran kumtajataja hata kama ni kafiri kwao.
 
hata wamfiche vipi, historia inabaki palepale, Mganda aliwasaidia wazenji, peke yao walishindwa. wawe na shukran kumtajataja hata kama ni kafiri kwao.
Hawataki kumshukuru mtu ambaye aliwatoa Utumwani sababu kwao ni Kafir. Baniani Mbaya kiatu chake dawa
 
mfuatilie che guavara, okelo alikuwa kama che,hakujali kazaliwa wapi alijali kuwaondoa wageni kuitawala africa, alikuwa mganda
Johnson,
Inabidi uijue vyema historia ya Che na mapinduzi ya Cuba kuweza kumfananisha Okello na Che.
 
Tunaweza kukubaliana jambo moja. Mapinduzi au ata kupigania Uhuru au Demokrasia ni harakati zenye mipango ,hatua mbali mbali na kujumuisha watu wengi lakini atuwezi tukawakataa wale wanaofanikisha jambo. Kwahiyo atuwezi kumkataa John Okello kwa mchango wake mkubwa wa kuikomboa Zanzibar dhidi ya ufedhuri wa Sultan Jamshid labda kama tunaliangalia ili kwa misingi ya kidini hapo utakua sawa kwa misingi hiyo ambayo si sawa.
 
Bish...
Nafananisha historia ya Okello inavyojaribiwa kuelezwa na historia ya uhuru wa Tanganyika.

Okello anataka kufanywa kuwa bila yeye mapinduzi yasingewezekana ilhali mapinduzi yalipangwa Tanganyika na wahusika wote wanafahamika kwa majina.

Jina la Okello halimo kama yalivyokuwa hayamo majina ya wengi walioshiriki katika mapinduzi hayo.

Kama si sauti yake kusikika Sauti ya Unguja hakuna angejua kuwa kuna mtu anaitwa John Okello kama vile ambavyo hakujulikana Abeid Mmasai na Mohamed Omar Mkwawa.

Historia ya uhuru wa Tanganyika ilijengwa hivyo utalisikia jina la Julius Nyerere kachukua uongozi mwaka 1953 haielezwi kachukuaje au kachukua kutoka kwa nani nk nk.

Kitabu cha Abdul Sykes kilipokuja kutoka 1998 kishindo chake kikawa kikubwa.

Leo inaelezwa kuwa Okello alikuwa sehemu ya "drama" ya ASP kuwa tangazo la mapinduzi linatangazwa na mtu lafidh yake ya Kiswahili haifahamiki na wengi hamtaki kuamini.

Na kitu cha kuchekesha ni kuwa mnaamini kuwa mapinduzi yalifanywa na Field Marshall ambae hata jeshi hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…