Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Thanks chizi kwa uchizi๐๐๐๐๐Ndiwo โ
Ndiyo โ
Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa Wazanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks chizi kwa uchizi๐๐๐๐๐Ndiwo โ
Ndiyo โ
Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa Wazanzibar
Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa WazanzibarThanks chizi kwa uchizi๐๐๐๐๐
Thanks chizi kwa uchizi๐๐๐๐๐Upo sahihi sheikh. Nakubaliana nawe. Akumbukwe Baba wa Taifa la Zanzibar John Okello. Mkombozi wa Wazanzibar

Upo sahihi kabisa.Mm upande wangu, mapinduzi ya Zanzibar yaliletwa na vijana kutoka Asp, wakulima wa mkonge kutoka Tanga na John Okello kutoka Uganda.
Maana kuna kaudini kanaingia ila hakana msaada. Kulikua na walio na wasio na dini, wakashirikiana kuleta uhuru. Sasa tulio na dini tumebaki kubishana
Umeulizwa alikua chama gani?John okello ndo alikuwa field marshal wa zanzibar aliyemfurumusha sultal jamshid hadi karume akamwonea gere kamanda
Msikilize hapo akiongea akiwa na Karume.
Kijana mdogo sana miaka 29 akapindua nchi. Bila Okello Zanzibar ingekua bado chini ya Sultani.
Okello tutakukumbuka Daima, haijalishi umekufa ila kumbukumbu yako haitafutika.
hata wamfiche vipi, historia inabaki palepale, Mganda aliwasaidia wazenji, peke yao walishindwa. wawe na shukran kumtajataja hata kama ni kafiri kwao.Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao.
Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari za Mwanamapinduzi aliyesaidia kuipatia Zanzibar Uhuru wake John Okello.
Kwa his disappointment alishtuka kuambiwa the Man alifukuzwa mara baada ya kumaliza jukumu lililomleta Zanzibar kuwaondoa Waarabu waliokuwa wakiitawala Zanzibar.Aliwaokoa Waafrika kutoka kutawaliwa walipopata tu uhuru wakamfukuza.
John Okello Baba wa Taifa la Zanzibar ataendelea kukumbukwa kila tutakapoadhimisha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baada ya hapo John Okello alirudi kwao kwenda kuendeleza mapambano dhidi ya udhalimu na hatimaye alikuwa kama mtu wa kawaida tu pasipo makuu. Hakulipwa yeye wala familia yake. Kabla ya Mwaka 1967 Che Guevara kufariki aliwahi mtumia mzee wangu barua akimtaka amtafute John Okello wajiunge naye kwenye harakati huko Msumbiji na Angola.
Mzee hakujua aanzie wapi.
Hawataki kumshukuru mtu ambaye aliwatoa Utumwani sababu kwao ni Kafir. Baniani Mbaya kiatu chake dawahata wamfiche vipi, historia inabaki palepale, Mganda aliwasaidia wazenji, peke yao walishindwa. wawe na shukran kumtajataja hata kama ni kafiri kwao.
mfuatilie che guavara, okelo alikuwa kama che,hakujali kazaliwa wapi alijali kuwaondoa wageni kuitawala africa, alikuwa mgandaHuyu John alikuwa ni wa nchi gani? Alifikaje Zenj? Malizia story
Johnson,mfuatilie che guavara, okelo alikuwa kama che,hakujali kazaliwa wapi alijali kuwaondoa wageni kuitawala africa, alikuwa mganda
Tunaweza kukubaliana jambo moja. Mapinduzi au ata kupigania Uhuru au Demokrasia ni harakati zenye mipango ,hatua mbali mbali na kujumuisha watu wengi lakini atuwezi tukawakataa wale wanaofanikisha jambo. Kwahiyo atuwezi kumkataa John Okello kwa mchango wake mkubwa wa kuikomboa Zanzibar dhidi ya ufedhuri wa Sultan Jamshid labda kama tunaliangalia ili kwa misingi ya kidini hapo utakua sawa kwa misingi hiyo ambayo si sawa.Bish...
Huwezi kuanza kuyaeleza mapinduzi pale John Okello alipozungumza kwenye radio.
Historia ya mapinduzi inaanza nyuma sana kwenye kuweka mipango ya kupindua serikali ya ZNP/ZPPP.
Kuna nafasi ya Hanga na Kambona.
Kuna viongozi wa Kambi ya Kipumbwi.
Kuna vyombo vya usalama vya Tanganyika.
Kuna mchango wa Israel na Algeria na Waingereza pia.
Ukipita huku kote utaielewa historia ya mapinduzi.
Nakushauri umsome Dr. Harith Ghassany.
Bish...Tunaweza kukubaliana jambo moja. Mapinduzi au ata kupigania Uhuru au Demokrasia ni harakati zenye mipango ,hatua mbali mbali na kujumuisha watu wengi lakini atuwezi tukawakataa wale wanaofanikisha jambo. Kwahiyo atuwezi kumkataa John Okello kwa mchango wake mkubwa wa kuikomboa Zanzibar dhidi ya ufedhuri wa Sultan Jamshid labda kama tunaliangalia ili kwa misingi ya kidini hapo utakua sawa kwa misingi hiyo ambayo si sawa.
1998Kitabu cha Abdul Sykes kilipokuja kutoka 1989 kishindo chake kikawa kikubwa.