Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

Mzee Mohamed andika tujifunze.
 
Cuba na nchi nyingine ambazo Chegu wa 1 alishiriki kuzipa uhuru wanatambua nafasi yake, ni huku kwetu tu ndo tunatambua huyu Chegu wa EA kwa sauti yake redioni. Jokes!
 
Niwekee link mzee wangu.
Being...

Nguruvi...
Bahati mbaya unaandika kwa kukejeli.
Umemkejeli Ahmed Rajab na umenikejeli mimi pia.

Laiti ungeandika kwa ustaarabu ningeweza kushawishika kuchangia.
Nimejifunza mengi kutoka kwa Ahmed Rajab katika historia ya Zanzibar.

Si mtu wa kuvunjiwa heshima yake hapa.


Mwandishi na Ahmed Rajab, Mhariri wa Africa Analysis, Barbican London 1991​
 
Asante mzee wangu mohamed upumzike sasa au unaangalia mechi?
 
Weka chanzo cha habari
 
Mzee sijui anatuonaje.
Magnifico,
Unapokejeli mjadala unaharibika.

Mimi nilikuwa Research Assistant wa Dr. Ghassany wakati wa utafiti wa historia ya mapinduzi na kitabu kimeandikwa.

Hapa nimeeleza yale tuliyoona katika utafiti.

Ikiwa hutaki kuamini sikulazimishi lakini wapangaji wa mapinduzi wanafahamika na John Okello hakuwa mmoja wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…