Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

Ovyoo...
Sawa uhusika wake ni upi hata kupewa radio kutangaza mapinduzi?.
 
kwa ushahidi upi wakati kwa uchache tu nimekueleza kuwa kulikuwa na wamwera pia? Unajua kuna mazoea ya wengi kuwa mtu akitoka kusini maana yake ni mmakonde kitu ambacho sio kweli je wewe si muumini wa hivyo?
Mna...
Mimi siko hapa kushinda mjadala.

Niko hapo kufundisha kile ambacho wengi hawakijui.

Ingekuwa kambi ya Kipumbwi ilitawaliwa na Wamwera ningeeleza.

Ukisoma kitabu cha Dr. Ghassany utawasoma Wamakonde wenyewe wakieleza mchango wao katika mapinduzi.
 
Sawa tuambie wewe ilikuwaje John Okello akapewa radio kutangaza mapinduzi matukufu ya Zanzibar ilihali si mhusika?.
 
Ovyoo...
Sawa uhusika wake ni upi hata kupewa radio kutangaza mapinduzi?.
Frank...
Ilitakiwa apatikane mtu mgeni mwenye lafidhi ngeni masikioni mwa Wazanzibari ili ipatikane picha kuwa ASP imeleta wapiganaji kutoka nje hivyo kuzidisha hofu kwa wapinzani wao ZNP na ZPPP.
 
Wakt mwingine uchizi unafanya kazi vzr

UMUGHAKA njoo jamaa ako leo Yuko kimataifa Zaid

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa we ulitaka Mkisto awe baba wa Taifa la Zanzibar huoni Mohamed Said anavyo angaika na Mwalimu Nyerere kwa nini awe baba wa Taifa mwenye macho na akili haambiwi tazama watu wa Pwani kutetea uongo ni sahihi kwa imani yao maadamu lina maslahi kwao.

Mzee Said haaminiki tena kwa sababu akili yake ameiruhusu itawaliwe na illusion za dini ya waarabu anawatukuza waarabu na dini yao kuliko uafrika na utanganyika wake. Hovyo kabisa.
 
Kwa hili Mzee wangu Mohamed Said anapata kigugumizi kukiri ushujaa wa Okello katika Mapinduzi.

Mzee wangu!
Kama ambavyo umekuwa ukifundisha kuwa Historia ya Uhuru wa Tanganyika imepindishwa, kubali na hili kuwa historia ya Mapinduzi pia imepotoshwa.

Ukweli ni kitu rahisi sana kuutetea.
 
Sela...
Okello alichaguliwa kutoa tangazo la kuanguka kwa serikali ya Mohamed Shamte kwa sababu ya lafidh yake ambayo si ya Kiunguja.

Karume, Babu na Hanga wote walikuwa Dar es Salaam.

Sauti ngeni kwa Wazanzibari oliwatia wananchi hofu.
Karume, Hanga na Babu kwanini hawakuwepo katika mapinduzi?
Na kwanini waitwe wao?
 
Mojamed Said anatudanganya na historia yake ya kuchonga eti hakuwemo huyu mnyama John Ok..
Hivi asiye mwanamapinduzi anaweza kukaa mbele ya lmg na AK 47 hivyo?
 
Huyo Mzee Said wa ajabu Sana eti okelo aliitwa kuwatisha watu kwa sauti yake!

Huyu mzee ndie huyu hulialia kuhusu kufichwa kwa historia ya Wanaharakati wa Uhuru wa Tanganyika but ni yeye anayepinga na kuficha ukweli juu ya kijana huyu wa zamani.
 
Frank...
Ilitakiwa apatikane mtu mgeni mwenye lafidhi ngeni masikioni mwa Wazanzibari ili ipatikane picha kuwa ASP imeleta wapiganaji kutoka nje hivyo kuzidisha hofu kwa wapinzani wao ZNP na ZPPP.
Mzee wa kushangaza Sana huyu yaani John O anaonekana katika picha akiwa na silaha na mwenye kujiamini sana mbele ya wafuasi wake we watueleza eti aliitwa tu kutangaza Jambo Hilo kwa lafudhi yake ya kutishia watu!
Mzee unatuonaje.

Eti utafiti!
Leo unaificha historia ya umuhimu wa Okelo waziwazi lakini unalilia kutambulika kwa Wanaharakati wa Kiislam wa uhuru Tanganyika.

NB.
Naunga mkono hoja ya kutambulika kwa Wanaharakati wa uhuru wa nchi hii Bill kujali itikadi zao za kidini, tamaduni Wala kingine chochote.
 
Ingawa alisaidia lakini pia alitaka kupinuda...
 
Umemaliza kila kitu hapa. Kila kitu.
 
Anataka John Okello afichwe sababu ya Dini yake. Huyu John aliwakomboa Wazanzibar pasipo kujali dini na kabila zao. BABA WA TAIFA HILI LA ZANZIBAR.
 
Dingi...
Siko hapa kubishana.

Mimi namweleza Okello kama nilivyomjua kutokana na utafiti.

Unaweza kuamini utakacho hata bila ya kutafiti.

Hakuna wa kukuzuia.
Kuna tofauti kati ya kubishana na kujengeana uelewa ndg.
Elezea tu hata kidogo kuwa J.Okello alitolewa wapi mpaka kutumika kutoa matangazo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…