Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

Kwani Prof Janabi anasemaje ? Pork kwa afya yako....mwezi huu kumepwayaaaa
Ukiangalia kwenye takwimu hawa macho madogo wanaongoza kwa life expectancy, Hong Kong, Japan, Korea n.k na wanakula kitimoto sana.

Japan kuna samaki anaitwa puffer fish, wanapenda kumla ila ukikosea kumuandaa ni very poisonous, kumuandaa tu inabidi uwe certified.
Jamaa wanakula vitu vya ajabu sana.
 
Sasa unakula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva unategemea nini ? Hata ukila nyama ya ng'ombe ambayo haijaiva Tegu itakuhusu..., Ukila Red meat kwa sana tegemea uric acid kuongezeka (gout)

Everything in moderation....
 
bb7a2fef26f0e0d57bae40cc84119b3e(1).png

Nyama ya pua ni tamu balaaa!!
 
Mwili wa Kristu(kitimoto) unashushia na damu ya Kristu(Red Wine),,Ngoja nijiandae nielekee madhabahuni jioni hii nikajistiri kidogo,,Kihoro kimeshapanda acha nikamtulize Kiti.
 
Ukiangalia kwenye takwimu hawa macho madogo wanaongoza kwa life expectancy, Hong Kong, Japan, Korea n.k na wanakula kitimoto sana.

Japan kuna samaki anaitwa puffer fish, wanapenda kumla ila ukikosea kumuandaa ni very poisonous, kumuandaa tu inabidi uwe certified.
Jamaa wanakula vitu vya ajabu sana.
Bunju pia ukimkosea umekwishaas
 
Haina tatizo hadi uanze kuanguka na kupoteza fahamu
 
Back
Top Bottom