Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

Tafadhali hatuli nguruwe tunakula kitimoto nusu na ndizi mbili inashushwa na bia ya baridiiiii
 
ALikula mbichi au.....!!MAANA INAWEZEKANA VIPI CHAKULA KIPITE KTK MOTO WA 100% kisha hao minyoo waendelee kuishi...!!
 
Titakula tu.
 
Watakuambia ya wamarekani waachiwe wamarekani
Kama marekani na maendeleo yote yale wamefikia hapo vipi vichwa vyetu Tz!!
Usikute ndiyo hayo maamuzi ya hovyo ya viongozi wetu chanzo ni hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…