Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

Kosa lake aliacha kula nyama ya nguruwe badala yake akala nguruwe.
 
Mkuu unaweza kutoa jina la dawa nzuri?
Jina sina namhala. Mimi huwa nakwenda kwenye pharmacy tu na kuulizia dawa za minyoo; na huwa nawaambia kuwa mi ni mla kitimoto. Kuna za kuanzia elfu tatu mpaka za 15K nadhani. Huwa nanunua moja hivi ya kunywa mara moja tu inauzwa kama 6K-8K nakaa siku moja hivi au mbili ndiyo nakunywa dawa za kusafisha tumbo.

Kama hutaki kutumia dawa kwenye kusafisha tumbo unaweza kutengeneza juisi ya ukwaju ukatiamo kijiko cha kawaida cha pink/Himalayan salt (kama huna presha ya kupanda) na kipande cha limao. Kunywa kama glass mbili hivi halafu subiri kama saa moja hivi usikilizie muziki wake.

Baada ya hapo endelea kupiga kitimoto chako bila wasiwasi. Baada ya miezi mitatu unarudia tena zoezi.
 
Huyo ana magonjwa yake mengine,kitimoto asisingiziwe
 
ALikula mbichi au.....!!MAANA INAWEZEKANA VIPI CHAKULA KIPITE KTK MOTO WA 100% kisha hao minyoo waendelee kuishi...!!
Moto wa 100%,hahahaaa😂😂😂
 
Msitutisheee
 
Mbona ngono hamuachi lakin madhara yake ni very popular kuliko kula nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…