Al ahly Tripoli ni timu tishio sio tu kwa simba bali kwenye michuano yote. Simba isipokuwa makini itasambaratika na migogoro itaanza

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa.

Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL,

Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi,
Wana akili ya mpira na wanafanya vizuri kwenye ushambuliaji.

Hawapotezi muda kama waarabu wengine, pia wqle jamaa ni wepesi na wapo sharp kama wembe

Kilicho waokoa simba ni uamuzi wa kupaki bus, timu ikipaki bus hua kuna ugumu kuifunga,

Endapo Simba watafunguka kwa mkapa, watapigika kipigo cha mbwa koko.

Wale vijana wa Gadafi ni hatari sana.

Mnamlaumu Mutale hamuoni yule beki mwarabu ni kitasa?
Kaingia Okajepha ndio afadhari hata mutale okajepha alikuwa kama mtoto mdogo

Mnamlaumu Balua hivi zile beki mlikua hamzioni?
Kaingia kibu ndio kawa kituko cha mwaka mpira ukamshinda akaanza kupiga watu vifuti (subirini faini ya CAF)

Muhamed Husein Kijana wq watu alikuwa anajitahidi sana ila anazidiwa na waarabu.

Mbele Simba ilikuwa haifurukuti, sasa kama mtafungua Turbo kwq mkapa kwa kudhani mpo nyumbani ni salama, mtapigika vibaya mno.

Uzuri subira hamna, naiona Migogoro ikianza mwanzoni kabisa mwa msimu na Simba ikipasuka vipande vipande.

Nawasilisha
 
Wenyewe wanasema ni kwasababu hawakuwa na mashabiki. Kwa pira lile hata wangekuwa na mashabiki mateso ni yale yale.

Ni wazi simba jana walifeli kuuvunja ukuta wa al ahly tripoli na sioni wakufanya hivyo mbele ya kiungo na zile beki za wajukuu wa Gaddafi.
 
Wale jamaa wako vizuri sana wanajua kukaba na kupiga pasi zinazo fika
 
Kapombe alizidiwa na wale jamaa na wakaamua kuwa wanapitia huko huko.

Kocha kama aliamua kupaki bus, Kijili alikuwa mtu sahihi mana ana kasi ya kukaba
 
Hawana lolote,wepesi kabisa

Waarabu wakibanwa hua wanaanza kujiangusha kutafuta penalty

Na marefa wengi wameshawajua tabia zao
 
Wana spidi, wana control, ni wepesi na wanyumbulifu mechi ya Dar itakuwa nzuri kwavile Simba itafunguka. Mapungufu niliyoona kwa hao Al Ahli Tripoli ni kutokuwa na mbinu mbadala kupata goli kama timu ikipaki bus wameshindwa kupiga hata mashuti ya mbali wao ni kupiga cross tu ndicho walichokariri.
 
Nadhani kupaki bus ilisaidia kwasasa simba kesha mjua mpinzani kazi ya mwisho ni kwa mkapa, je uwanja wa mkapa itakuwa suluhisho kwa simba yaani uwepo wa mashabiki, mbona kule Libya timu pinzani walitoka draw, kwa maana ya kutoshana nguvu mimi natabiri mikwaju ya penalti
 
Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa.

Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL,

Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi,
Wana akili ya mpira na wanafanya vizuri kwenye ushambuliaji.

Hawapotezi muda kama waarabu wengine, pia wqle jamaa ni wepesi na wapo sharp kama wembe

Kilicho waokoa simba ni uamuzi wa kupaki bus, timu ikipaki bus hua kuna ugumu kuifunga,

Endapo Simba watafunguka kwa mkapa, watapigika kipigo cha mbwa koko.

Wale vijana wa Gadafi ni hatari sana.

Mnamlaumu Mutale hamuoni yule beki mwarabu ni kitasa?
Kaingia Okajepha ndio afadhari hata mutale okajepha alikuwa kama mtoto mdogo

Mnamlaumu Balua hivi zile beki mlikua hamzioni?
Kaingia kibu ndio kawa kituko cha mwaka mpira ukamshinda akaanza kupiga watu vifuti (subirini faini ya CAF)

Muhamed Husein Kijana wq watu alikuwa anajitahidi sana ila anazidiwa na waarabu.

Mbele Simba ilikuwa haifurukuti, sasa kama mtafungua Turbo kwq mkapa kwa kudhani mpo nyumbani ni salama, mtapigika vibaya mno.

Uzuri subira hamna, naiona Migogoro ikianza mwanzoni kabisa mwa msimu na Simba ikipasuka vipande vipande.

Nawasilisha
mkuu umesahau wale jamaa wachawi mno wakiwa hapa wataua hata watu ili washinde we ngoja uone
 
Tumekusikia
 
Sawa mchambuzi. Tuchambulie na CBE ya Ethiopia kampasi ya Dodoma
 
Kwa mkapa nawashauri Simba siraha yao waliyobaki nayo kuitumia ni ushirikina tu basi, lakini wakienda kutegemea iyo timu yao kwamba inatosha kuwapa matokeo watatupwa nje ya michuano asubuhi tu na hao waarabu, timu inaenda kupaki basi mwanzo mwisho unategemea nini, wanagusa Mpira awakai nao ata dk 2 wamenyang'anywa ni hatari sana, na wakijiroga kufunguka kwa mkapa watakula kichapo pia sema na waarabu sio wazuri kwenye finishing yao pamoja na Simba kupaki kontena jana bado walipata nafasi awakuzitumia vizuri!
 
Wana spidi, wana control, ni wepesi na wanyumbulifu mechi ya Dar itakuwa nzuri kwavile Simba itafunguka. Mapungufu niliyoona kwa hao Al Ahli Tripoli ni kutokuwa na mbinu mbadala kupata goli kama timu ikipaki bus wameshindwa kupiga hata mashuti ya mbali wao ni kupiga cross tu ndicho walichokariri.
Kwenye cross hapo ndio nyumbani kwa Mabululu, siku ile alifanya attempts za hatari, kama siyo Camara hali ingekuwa tete
 
Chambueni timu mnazokutana nazo nyie utopolo..huku tuachieni sisi..
 
Back
Top Bottom