OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa.
Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL,
Timu inauwezo wa kupiga pasifupi fupi na pasi ndefu kwa usahihi,
Wana akili ya mpira na wanafanya vizuri kwenye ushambuliaji.
Hawapotezi muda kama waarabu wengine, pia wqle jamaa ni wepesi na wapo sharp kama wembe
Kilicho waokoa simba ni uamuzi wa kupaki bus, timu ikipaki bus hua kuna ugumu kuifunga,
Endapo Simba watafunguka kwa mkapa, watapigika kipigo cha mbwa koko.
Wale vijana wa Gadafi ni hatari sana.
Mnamlaumu Mutale hamuoni yule beki mwarabu ni kitasa?
Kaingia Okajepha ndio afadhari hata mutale okajepha alikuwa kama mtoto mdogo
Mnamlaumu Balua hivi zile beki mlikua hamzioni?
Kaingia kibu ndio kawa kituko cha mwaka mpira ukamshinda akaanza kupiga watu vifuti (subirini faini ya CAF)
Muhamed Husein Kijana wq watu alikuwa anajitahidi sana ila anazidiwa na waarabu.
Mbele Simba ilikuwa haifurukuti, sasa kama mtafungua Turbo kwq mkapa kwa kudhani mpo nyumbani ni salama, mtapigika vibaya mno.
Uzuri subira hamna, naiona Migogoro ikianza mwanzoni kabisa mwa msimu na Simba ikipasuka vipande vipande.
Nawasilisha