Umeona hawa jamaa bila fitina hawaendi.
Dak 75 Mwarabu bado anaongoza kwa goli moja
Kwani toka lini waarabu wakawapenda wamatumbi, dada zenu si wananing'inizwa huku uarabuni kila siku maghorofani .....Halafu inaonekana huwapendi waarabu. Kwanini usitumie jina "al ahly" mpaka useme mwarabu!
Je nao wakisema mwafrika anaongoza goli moja utapendezewa?
Mungu wabariki al ahly
Mungu wabariki Yanga
Dah nilitamani mechi ingeisha kwa sareGoooooooo dakika 79 penalt
Al alhy 2-0 Vital
Duh refa mnyama huyu.!
Nacheki DStv wapo safi japo hawachambuiHivi ni nani ana rights za kuonyesha hizi mechi?mashindano makubwa ya klabu barani africa mechi ipo halftime hamna uchambuzi wa highlights..kweli bado tupo nyuma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemifanya nicheke pamoja na refa kunikera sana.Ivi mwanaume una mshabikia mwarabu hiyo ni dalili ya nini...................
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwatetea waarabu huku sio bure.!Acha chuki dhidi ya waarabu,watu weusi cjui huwa 2namatatizo gani. Vita co wa hapa kwetu lakini utawashabikia kwakuwa wanacheza na waarabu. Acheni chuki ndugu zangu
Al ahali 2 0 wanyampala
God bless al ahali
Kwani toka lini waarabu wakawapenda wamatumbi, dada zenu si wananing'inizwa huku uarabuni kila siku maghorofani .....
Halafu usinitoe kwenye mstari
Daki 90 zimeongezwa 3 Mwarabu 3-0 Vital