Al Ahly vs As Vital live update.

Acha chuki dhidi ya waarabu,watu weusi cjui huwa 2namatatizo gani. Vita co wa hapa kwetu lakini utawashabikia kwakuwa wanacheza na waarabu. Acheni chuki ndugu zangu


Al ahali 2 0 wanyampala

God bless al ahali
Yaani wewe unalazimisha kila mtu awe upande unaoshabikia wewe akiwa tofauti na wewe basi ana chuki dhidi ya waarabu. Wewe una mahaba na waarabu yaliyopitiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha chuki dhidi ya waarabu,watu weusi cjui huwa 2namatatizo gani. Vita co wa hapa kwetu lakini utawashabikia kwakuwa wanacheza na waarabu. Acheni chuki ndugu zangu


Al ahali 2 0 wanyampala

God bless al ahali
we kiaz kweli, anaposema anataman mechi kuisha sure haihusiana na rangi ya ngozi ya mtu, Anacholenga yeye ni simba ipate mazingira mazuri mapemaa... Wangetoka suluhu inamaana wangegawana point.. wangekua nyuma ya simba point mbili wote wawil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile kadi ya utata sana waarabu wakiwa kwa fitna...hata kurudia lile tukio waonyeshe kama ni mtu wa mwisho wanashindwa upande wa kulia kulikuwa na beki mwingine,africa tunahitaji VAR kwenye haya mashindano


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna utata kwa faulo ile alistahili second yellow. Hao wote tunaweza kukabiliana nao bila shida. Na ni bora vita amefungwa maana huyo ndio direct opponent wetu kwa nafasi ya kufuzu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanaocheza saizi karibia wote ni wepesi na wana kasi japo mwarabu anakasi Zaidi...

Simba kuchomoza katikati ya hawa wawili afanye kazi ya ziada, maana hawa wote wanampira wa kasi sana.
Mkuu huta amini utachokiona hapo wakuogopwa ni AS Vita tu, kwa Simba ukifunguka unaliwa kifupi Nkana walikuwa ni mlima mrefu sana kwa Simba usipuze Simba yenye international players wa nne wanaotegemewa kwenye timu za taifa Kagere, Okwi, Juko na Chama akina Kwasi, Kotei na Wawa wao hawana namba kwa kuwa wanaojua ni wengi. Alichokifanya jana Okwi na Kagere ndio utaelewa maana ya international players nyie mnawadharua wapinzani wa Simba badala ya kuwapongeza Simba kwa ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…