Al Ahly vs As Vital live update.

Ndivyo walivyo hao.
Mechi ya kwanza na Nkana walimsifu sana Nkana kwa kiwango kizuri.
Mechi ya pili na Nkana walimbeza Nkana Kwa kiwango kibovu.
Ni wa kuwaangalia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kubebwa kule,kocha wa Simba asije akampanga Murshid, yaani mapema tu nyekundu itamuhusu...Sina shaka na Simba iko vzr.
Jana muamuzi kamlinda tu ilikua atugharimu,Shida ya juko hana nidhamu ya ukabaji na anakosa timing nzuri ya kumvaa opponent

Nahakika kama hatorekebisha aina ya ukabaji wake kwa mechi za ugenini atakula nyekundu na kuigharimu timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile kadi ya utata sana waarabu wakiwa kwa fitna...hata kurudia lile tukio waonyeshe kama ni mtu wa mwisho wanashindwa upande wa kulia kulikuwa na beki mwingine,africa tunahitaji VAR kwenye haya mashindano


Sent using Jamii Forums mobile app
Warabu fitina sana, hata ile penati wamepewa yule mchezaji kajiangusha
 
Tatizo juuko ni no 5 na wawa no 5 , juuko anavilafu vya ajabu kwenye 18, kwa nilivyomuona yule refa wa al ahly na vita mbali ya kadi hata penati anatenga, Kumbe bora Elasto.
 
Yaani kweli kabisa kama si busara za refa jana, angetuletea balaa, yaani hadi Mkude alikuwa akimuelekeza, huyu naomba kabisa asicheze kwenye mechi za Waarabu ugenini kama hatarekebishwa, ataleta majanga na kuingusha timu ambayo iko vzr sana.
 
Huyo jamaa mzoee tu. Kama sio mwarabu basi house boy wa mwarabu. We chochote utachosema kuhusu mwarabu anakuita mbaguzi. Sasa fikiria mtu anaomba game iishe sare ye anaita ubaguzi. Hopeless.
 
Tatizo juuko ni no 5 na wawa no 5 , juuko anavilafu vya ajabu kwenye 18, kwa nilivyomuona yule refa wa al ahly na vita mbali ya kadi hata penati anatenga, Kumbe bora Elasto.
Juuko kweli ata-cost timu one day. Hajapata tu mpinzani aliemsoma vizuri akamuelewa. Penalties zote zingekua zinapitia kwake, na pengine hata Red Cards.

Ni beki mzuri ila tabu ni kua uchezaji huu hawezi kuubadilisha, uko damuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…