*Nahisi tufanye mazoezi ya kuhesabu kiarabu mapema...* [emoji12][emoji12][emoji12]
Moja - wahed
Mbili - Ithnan
Tatu - Thalatha
Nne - Arba
Tano - Khamsa
Sita - Sitta
Saba - Sabah
Nane - Thamaniya
Tisa - Tissah
Kumi - Asharah
Haya ndio maoni yangu
Wewe ndo umechanganyikiwa...tangu lini shabiki la gongowazi likajua ratiba ya mechi za simba kwenye hatua ya michuano ambayo hamjawahi qualify kushiriki kwa miaka 20 nyumaWamechanganyikiwa mkuu wasamehe
Yakitokea haya tutashangaza walimwengu (Jangwani FC)Mtashangaa waarabu wanakalia 1-0 kesho hiyo
Under dogs baada ya ku qualify hii hatua kuchukua zake 1.5 billion...gongowazi ambae sio underdog mayeye nasikia ka qualify hatua ya magroup whatsapp sijui kapewa shilingi ngapi😂😂😂....yaani ukiwa shabiki wa gongowazi lazima upate tabu sana..unamwita underdog timu aliyequalify hatua ambayo unamiaka 20 hujawahi qualify unaisikia tu kwenye radioHATA UBADILI KUNI VIPI, MOTO NI ULE ULE!!! Kila la heri NATIONAL AL AHLY kwenye mechi dhidi ya underdogs!
Kafanana sana na Amber RuttyNa alikuja kuziba pengo la kapombe,yule ni dancer simba wananunua Hata wakatabasamu,wakata viuno tu
Ungeandika Simba watafungwa inatosha kabisa! mambo ya kuliwa sio Uungwana.Naona kuna mikia wanaliwa tigo na mwarabu kutoka Egypt kiroho safi kabisa .
muda utasema na 1.5B yenuUnder dogs baada ya ku qualify hii hatua kuchukua zake 1.5 billion...gongowazi ambae sio underdog mayeye nasikia ka qualify hatua ya magroup whatsapp sijui kapewa shilingi ngapi😂😂😂....yaani ukiwa shabiki wa gongowazi lazima upate tabu sana..unamwita underdog timu aliyequalify hatua ambayo unamiaka 20 hujawahi qualify unaisikia tu kwenye radio
Tumeshapata 1.5billion hatuna cha kupoteza...hata tukifungwa tano nini cha ajabu..wanafungwa hizo wakina barcelona akifungwa simba nini cha ajabu...shabiki la Gongowazi ukiliuliza linafurahia nini simba kufungwa tano wakati kashakula pesa ya kutosha linabaki linakushangaa tu wakati timu yake imegeuka ombaombamuda utasema na 1.5B yenu
Mkuu hawa usijibishane nao tuachie sisi tutamalizanaUngeandika Simba watafungwa inatosha kabisa! mambo ya kuliwa sio Uungwana.
Hahaha mi naogopa kutabiri. Kinywa changu nakiogopa, hutoa maneno na huwa yanatimia