Kwanza kabisa kudhiti pressure dk 20 za mwanzo.
Wahakikishe kwenye kumi na nane wasikubali kucheza faulo
Wakipata kona wazitumie waarabu kona wavivu
Kikiisha kipindi cha kwanza bila bila
Cha pili wazuie kwa kupiga counter attack
kagere na okwi waanze mbele...bocco aanzie benchi
chama awekwe ktk asichezw pembeni
manula asiteme mipira ovyo ovyo
pressure ya mashabiki na mafataki wasiwaze wala kuwapa presha
wakimbie sana siku ya leo
kila mchezaj ale glucose...kuongeza nguvu
SIMBA MOJA.....harafu wakija taifa wageni wote mechi ipigwe saa tisa mchana kwa jua hili lazima tuwachape...msiwachezeji jioni saa moja jua limezama.
Sent using
Jamii Forums mobile app