MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Kwa muda wa miaka 5 iliopita simba ameshiriki champions league robo fainali mara nyingi sn kuliko team yyt Tz Kwa takwimu hizo hio clip ipo sahihi Kwa wkt huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lishe duni ya utotoni huathiri ufanisi wa ubóngo.Hizi ni mind games, sasa mlivyo mambumbumbu mmeruka nayo tu kwa kukosa akili.
Ulitegemea aisifu klabu anayoenda kukutana nayo ili morali iwe juu apate upinzani?
Haya maneno hata mabondia huongea, akili ndio mmekosa wenzetu.
We ndio mjinga ..kwa hapa Duniani tunalingana?Kati ya kasoro tulizopata katika umoja wa makabila yetu ni pamoja na kuwa na watu wajingawajinga tu. Yaani yeye Msifie tu na kumuambia wewe ni zaidi ya fulani yaani atavimba kichwa na hatajali hata timu yake ikishuka daraja.
Wewe umeleta habari za Ahly hiyo ya Kaizer ilikua ni plan nyingine kwa hiyo hata kuwasifia au kusema tunawajua makolo pekee bado ni mindgame nayo kuwateka.Kaizer Chiefs ambao walisema kuwa Tanzani wanaijua Simba pekee
Ilikuwaje waseme hivyo wakati kipindi tunacheza nao nyinyi mlienda kuwasapoti hadi kiongozi wenu?
Je kuna kauli yeyote ambayo ipo kama nukuu ikionesha Kaizer Chiefs wakiisifia Yanga ili Yanga waisapoti Kaizer Chiefs?
Ulisema Yanga wapinzani wanajua Yanga wana akili hivyo hawawezi kuisifia Yanga kwa lengo la kupata watu wa kuwaunga mkono
Vipi kuhusu Hersi kuvaa jezi ya Kaizer Chiefs kuwasapoti kwenye mechi yao dhidi ya Simba?View attachment 2830553
Ni yanga utopoloHata jina la hiyo timu hulijui unqkurupuka tu. Sasa mwenye ukurutu hadi kwenye ubongo ni nani kati yako na hao Yanga?
sijui watu huwa wanasoma shule gani aisee. Hapo hawezi kujibu atabadili mada.Kwamba sisi tuliofungana sawa kwa rekodi bila ya kupatikana mbabe tunakuwa tumezidiwa na nyie ambao mmechapika two times?
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu, Yanga 1935, TANU 1954, CCM 1977,Baada ya uhuru bado watu wengi walikuwa na mahaba na CCM
Na ndio maana hata chanzo cha vyama vingi hayakuwa maoni yaliyotokana na kura nyingi za watu.
Hakuna mtu aliye opt mfumo wa vyama vingi bali Nyerere mwenyewe ndio alipendekeza kuwe na vyama vingi.
Yanga ni CCM na ndio maana ime inherit kila kitu mpaka rangi.
Kama ambavyo CCM imekuwa ikishinda kwa magoli ya mkono ndio hivyo hivyo Yanga ilikuwa ikishinda miaka hiyo kwenye mechi za Derby.
Hujui kuwa TANU ni zao la chama cha African Association?Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu, Yanga 1935, TANU 1954, CCM 1977,
CCM ni mtoto mdogo sana kwa Yanga, na imeikuta Yanga ipo ikiwa inawakanda mbumbumbu kama hivi Sasa.
Mbumbumbu fc ni timu la wakoloni na walowezi kutoka Asia, Wakati Yanga timu ya wananchi ikiunga jitihada za TANU za kuleta uhuru, mbumbumbu na vyama vya walowezi wakawa na jitihada za kufifisha harakati za uhuru lakini jitihada za mbumbumbu na mabwana zao ziligonga mwamba uhuru ukapatikana na mbumbumbu wakaendelea kukandwa vilevile.
Leo ndiyo tabulele yaani ukwelo utajulikanaHujui kuwa TANU ni zao la chama cha African Association?
Na mbumbumbu ni zao la wasaliti wapinga uhuru wa TanganyikaHujui kuwa TANU ni zao la chama cha African Association?