joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ila ktk source za CAF hizo hizo na macomentators walirefer wakati ya mechi ya nusu fainali na fainali ,Yanga ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza fainali ya michuano ya CAF (shirikisho),hatuja chukua kombe ila tuna medali ya mshindi wa pili kutoka kombe la shirikisho la CAF.Al Ahly wametumia source za CAF
So kabla hata hujaanza kubisha unatakiwa ujiulize kwanini African Football League ni mashindano yaliyohusisha timu 8 bora
Kwanini kwenye hizo 8 Gongowazi haipo?
Bahati mbaya napoteza muda wangu kumuelewesha mtu ambaye tuliambiwa hana akili kwasababu nauhakika kuwa wewe sio Sunday Manara wala Kikwete
Ila ww unaijua hata nusu fainal ya michuano yoyote ya CAF?