DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hujasikia majibu ya hilo swali kutoka kwa ndugu baloziClub number 1 imepigwa goli 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasikia majibu ya hilo swali kutoka kwa ndugu baloziClub number 1 imepigwa goli 5
Yanga mmepanicUtahaira ni mzigo mzito sana, giant kwa kombe Gani ama mafanikio Gani ebu tueleze, giant wa kuchoma moto viwanja vya watu ama giant wa mwakarobo? Unaelewa maana ya giant? Ukitaja ugiant nakutajia Young Africans ndio giant kwa ukanda huu na sababu na vigezo ninavyo na wewe unitajie timu yako ambayo ni giant unitajie vigezo vya ugiant wake
Nyinyi nyote ni mbumbumbuHiyo Yanga yenye akili ni Yanga ipi?
Hivi target ya mind game ni kupeleka madhara kwa mpinzani unayecheza naye au kwa mashabiki ambao timu yao haihusiki na mechi unayoenda kuicheza?
Maana kama ingekuwa hivyo kuwa Yanga wana akili basi hiki mnachokiita mind game kisingefanyika.
Au unataka kusema ni mind game kwa ajili ya kuwatoa Simba mchezoni kwasababu Yanga mna akili?
Watakucheka wenzakoUtahaira ni mzigo mzito sana, giant kwa kombe Gani ama mafanikio Gani ebu tueleze, giant wa kuchoma moto viwanja vya watu ama giant wa mwakarobo? Unaelewa maana ya giant? Ukitaja ugiant nakutajia Young Africans ndio giant kwa ukanda huu na sababu na vigezo ninavyo na wewe unitajie timu yako ambayo ni giant unitajie vigezo vya ugiant wake
Ataje timu yake anayosema ni giant tunamsubili kwa hamuYanga mmepanic
kataHiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.
Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
View attachment 2830249
Mbumbumbu maana yake akili anazo ila sio nyingi.Nyinyi nyote ni mbumbumbu
Al Ahly wametumia source za CAFwe bwege Al Ahly ni takataka gani kupanga viwango? Nyau tu hao
kata
Kwa maana iyo kufika robo fainali ndio ugiant wako sio? Unajua maana ya malengo? Msimu uliopita malengo yako yalikuwa kufika hatua Gani na uliishia wapi? Na yanga malengo yake yalikuwa ni yapi na waliishia wapi? Msimu huu umeweka malengo ya kufika NUSU fainali vipi uwezo wako uko sawa na aliyeweka malengo ya kufika makundi kwanza? Mwenye squad inayokuzidi ubora Kila idara kaweka malengo ya kufika kwanza makundi lakini wewe mwenye squad ya tia maji tia maji umeweka malengo ya kufika NUSU fainali unadhani mpira ni siasa? Kwani yanga walishindwa kutamka na kuweka malengo ya kufika NUSU fainali, la hasha but wanao viongozi wanaoujua mpira na sio watu wa propaganda kufurahisha genge Kama walivyo viongozi wenu waliochota akili zenu! Unasema unaenda peponi wakati ujafa ulishaona wapi, unao wakina john boko alafu unasema unataka kufika NUSU fainali unakuwa na akili timamu kweli?Watakucheka wenzako
Yanga ambaye kwa miaka 25 ndio anafika makundi ndio awe Giant mbele ya mtu ambaye kwa misimu zaidi ya mitatu anafika robo fainali CL?
Hata ukifanya tathmini ya malengo ya timu utajua ni timu ipi ni immature na ipi ni big fish.
Malengo ya Yanga ni kufika hatua ya makundi Club Bingwa.
Malengo ya Simba ni kucheza nusu au fainali ya Club Bingwa.
Ushawahi kuona wapi malengo ya anaye jiita Giant yakawa madogo kuliko asiyekuwa Giant?
Unajua vigezo vilivyotumika kuchagua timu za kushiriki African football league? Acha propaganda mfu wewe unajivua nguo bure hapa, Kama kigezo kingekuwa ubora wa timu basi yanga angekuwa hapo bila wasi wasi usijitoe ufahamuAl Ahly wametumia source za CAF
So kabla hata hujaanza kubisha unatakiwa ujiulize kwanini African Football League ni mashindano yaliyohusisha timu 8 bora
Kwanini kwenye hizo 8 Gongowazi haipo?
Bahati mbaya napoteza muda wangu kumuelewesha mtu ambaye tuliambiwa hana akili kwasababu nauhakika kuwa wewe sio Sunday Manara wala Kikwete
Mbumbumbu maana yake dish limeyumba, kwa inshu ya rage maana yake ni kwamba nyinyi makolo wote ni mataahira, mapunguwani.Mbumbumbu maana yake akili anazo ila sio nyingi.
Ila kwa ishu ya Manara ni kwamba hata hizo chache hamna, bali kwa watu wawili tu ambao wanafahamika na humu hawapo
Msimu uliopita Yanga alikuwa na malengo kama haya aliyokuwa nayo mwaka huu ya kufika makundi Club BingwaKwa maana iyo kufika robo fainali ndio ugiant wako sio? Unajua maana ya malengo? Msimu uliopita malengo yako yalikuwa kufika hatua Gani na uliishia wapi? Na yanga malengo yake yalikuwa ni yapi na waliishia wapi? Msimu huu umeweka malengo ya kufika NUSU fainali vipi uwezo wako uko sawa na aliyeweka malengo ya kufika makundi kwanza? Mwenye squad inayokuzidi ubora Kila idara kaweka malengo ya kufika kwanza makundi lakini wewe mwenye squad ya tia maji tia maji umeweka malengo ya kufika NUSU fainali unadhani mpira ni siasa? Kwani yanga walishindwa kutamka na kuweka malengo ya kufika NUSU fainali, la hasha but wanao viongozi wanaoujua mpira na sio watu wa propaganda kufurahisha genge Kama walivyo viongozi wenu waliochota akili zenu! Unasema unaenda peponi wakati ujafa ulishaona wapi, unao wakina john boko alafu unasema unataka kufika NUSU fainali unakuwa na akili timamu kweli?
Na link ukitaka kujiridhisha hii hapa tena valid source kutoka CAF wenyeweUnajua vigezo vilivyotumika kuchagua timu za kushiriki African football league? Acha propaganda mfu wewe unajivua nguo bure hapa, Kama kigezo kingekuwa ubora wa timu basi yanga angekuwa hapo bila wasi wasi usijitoe ufahamu
Punguani maana yake amepungukiwa sio kama hana kabisa.Mbumbumbu maana yake dish limeyumba, kwa inshu ya rage maana yake ni kwamba nyinyi makolo wote ni mataahira, mapunguwani.
Maana kama ingekuwa hivyo kuwa Yanga wana akili basi hiki mnachokiita mind game kisingefanyika.
Bayern Munich ni klabu namba 1 ujerumani na ni bingwa mara nyingi ujerumani.
Ahly ni klabu namba moja misri na ni bingwa mara nyingi misri.
R. Madrid ni klabu namba moja Spain na ni bingwa mara nyingi Spain.
Wydad namba moja Morocco bingwa mara nyingi Morocco.
Njoo kwa zuwena fc sasa 😂😂😂😂😂
Once mbumbumbu always mbumbumbu.
Ndio maana nakwambia wewe ni amnazo na familia yako imepata hasara, iyo michuano ya washuka daraja mbona ndio ulienda kuliaibisha taifa kwa ulozi hili angalau uvuke kwenda NUSU fainali??Msimu uliopita Yanga alikuwa na malengo kama haya aliyokuwa nayo mwaka huu ya kufika makundi Club Bingwa
Aliyafikia hayo malengo?
Hatua niliyoishia mwaka jana ni hatua ambayo bado haipo kwenye matazamio yako kama malengo.
Ulipotolewa kwenye mashindano magumu na kuangukia kwa washuka daraja ndio ukafika fainali.
Na hapo kumbuka mpaka unafika huko haikuwa malengo bali coincidence tu.
CAF walipoona timu yenu imefika fainali wakaona mpira ni kama umedharaulika
Nyinyi ndio mmefanya CAF watengue sheria ya walioshindwa Club Bingwa wasitupwe Shirikisho kama second chance wajitafute tena.