Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Mbona Simba waliisifia wakiwa wanakuja kucheza na sisi?

Walisema tunajua Simba ni timu ngumu na tuna iheshimu.

Na sio tu hilo, hata kocha wao wa zamani pitso aliwahi kusema Afrika hii hakuna kiwanja kigumu kupata matokeo kama Benjamín Mkapa huku mpinzani akiwa ni Simba.

Hiyo ndio maana real recognize real
Hicho ni kimbelembele chenu

Amewasifia ili kutudiscourage

Yeye aje acheze hapa bongo
 
Hiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.

Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
View attachment 2830249
Kwaiyo Aly ahly wakiongeza ivyo wanawapunguzia yanga ubora wao?
Au wanaiongezea Simba ubora kuizidi yanga? Mda mwingine MUWE na akili kidogo msipende kumpa Bwana Rage sifa kwa umbumbumbu wenu!
 
Habari wanazo maana kila kitu kipo kwenye data

Ila wenzako walikuwa wanajaribu kupotosha kusema kuwa hii bango halioneshi full time linaonesha dakika ya 85

Hivyo mpira Yanga walisawazisha hizo goli 5 na mpira ukaisha kwa sare
View attachment 2830379
Hii mechi nilikuwepo Taifa nilishuhudia mwenyewe kwa macho yangu bila msaada wa kichupa.
 
Hii ndio Simba ninayoijuwa.
 
Attachments

  • IMG-20231201-WA0012.jpg
    IMG-20231201-WA0012.jpg
    82.1 KB · Views: 2
Kwaiyo Aly ahly wakiongeza ivyo wanawapunguzia yanga ubora wao?
Au wanaiongezea Simba ubora kuizidi yanga? Mda mwingine MUWE na akili kidogo msipende kumpa Bwana Rage sifa kwa umbumbumbu wenu!
Ebu kajifunze kuandika kwanza

Na kwa bahati mbaya hautapata hiyo nafasi ya kujifunza kwasababu wewe by default hauna akili except uwe Sunday Manara au Kikwete

Otherwise uuhame timu
 
Ukitaka kumpata demu msifie sijawahi kuona mrembo kama wewe, uta tako kubwa, shape kama Carribbean queen atakupa hadi vitu haramu
Hao walikuwa mademu wa kizamani

Kama sio wakizamani basi ni huko bush kwenu ndio kuna hizo falsafa.

Mademu wa siku hizi wanataka hela
 
Mbona Simba waliisifia wakiwa wanakuja kucheza na sisi?

Walisema tunajua Simba ni timu ngumu na tuna iheshimu.

Na sio tu hilo, hata kocha wao wa zamani pitso aliwahi kusema Afrika hii hakuna kiwanja kigumu kupata matokeo kama Benjamín Mkapa huku mpinzani akiwa ni Simba.

Hiyo ndio maana real recognize real
Okay baada ya kukusifia kikatokea nini?
 
Back
Top Bottom