Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Usisahau na wamesema kabisa yanga kuifunga simba goal 5 haimaanishi yanga ni kubwa kuliko simba huwa inatokea team ndogo kufunga timu kubwa ni bahati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alooo yanga wameshapigwa kisaikolojia teyari kesho kazi inamalizwa uwanjani mapema kabisa.
Kumbe mpaka wao wana habari ya kupigwa mkono ?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ni Kama useme kule Italia juventus ni namba 2 wakati inajulikana wao ndio mabingwa wa kihistoria wa scudetto.

Huyo Hamas yupo sahihi sababu kwa Miaka ya karibuni wamekutana Mara nyingi zaidi na simba kuliko yanga na wakashindwa na kushinda .
Lakini kwakuwa wameongea wao sio Si units ya Mpira wa miguu na takwimu za caf 2022-2023 zimeweka yanga Kwenye tano bora .
Hawezi kisifia Yanga

Hata ningekuwa mimi ningesema kuwa Zamalek ndo klabu kubwa Afrika
 
Yanga inabidi wakubali tu kuwa wao bado ni immature hata Al Ahly kwenye mechi ya Yanga hajawa na maandalizi makubwa kama aliyofanya kwetu sisi

Kipindi anajiandaa kucheza na sisi walikaa almost wiki na nusu bila mechi yeyote na katika hizo siku wachezaji walizuiwa kushika simu zao.

Lakini mechi ya kesho ni kama Al Ahly wamestukizwa tu katikati ya ratiba zao.

Baada ya Al Ahly kucheza mechi yao ya kwanza ya group stage tarehe 25, juzi tarehe 28 kaingia kupiga mechi ya ligi kuu

Lakini ratiba ingekuwa inamkutanisha Al Ahly na timu kubwa basi hii mechi ya juzi tarehe 28 ingesogezwa mbele ili kujipa muda wa kujiandaa zaidi.

Al Ahly katika mechi zake dhidi ya Simba mpaka sasa hakuna bingwa, tumefungana mara tatu na sare zipo 3

Wakati katika mechi nne walizokutana Yanga na Al Ahly, Yanga kashinda mechi moja na sare moja zilizobaki ni vipigo.

Halafu badala wanakuja kumvalia misuli
Wasemaji wa Al Ahly wamekuwa wengi sana kwa sasa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hapo vip!

Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa Alhaly Ally dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga.

Wachezaji wa Alihy Ally wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania na namba moja kwa ubora ni Simba.

Kama muarabu aliyeandikwa kwenye vitabu vyote vya dini amekiri Simba ndio timu bora na namba one Tanzania..wewe ngozi nyeusi mwenye ukurutu mpaka kwenye akili ni nani?maana ake huna akili na medula oblangata na ubongo wa mbele itakuwa na ugonjwa wa ubishi na upumbavu.
waambie hamsa zao kama tulizompiga huyo mkewe kolo fc zipo pale pale
 
Usisahau na wamesema kabisa yanga kuifunga simba goal 5 haimaanishi yanga ni kubwa kuliko simba huwa inatokea team ndogo kufunga timu kubwa ni bahati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alooo yanga wameshapigwa kisaikolojia teyari kesho kazi inamalizwa uwanjani mapema kabisa.
We kwenye akili yako Tanzania hii Timu kubwa ni IPI?
 
Club iliyonifunga goli 5 ilifungwa goli 2 na Ihefu ambayo ipo mwishoni mwa msimamo wa ligi.

Kwasababu Club kubwa haiwezi kufungwa na Club ndogo basi tukubali kuwa Ihefu ni wakubwa kwenu.

Kama utabisha hilo kuwa Ihefu ni mkubwa kwako, vipi na sisi tukisema tukubaliane na zile kashfa za rushwa zilizohusishwa kwenye mechi yenu mliyotufunga?
IHEFU alimfunga YANGA akiwa TAIFA sio?
 
Hawezi kisifia Yanga

Hata ningekuwa mimi ningesema kuwa Zamalek ndo klabu kubwa Afrika
Yes inaonekana ni afisa wa ubalozi yupo Daressalaam muda mrefu ameshakuwa mswahili swahili Hata majibu yake yanaonekana “even with simba it is easy for me “ akimaanisha Hata wakicheza na simba ni rahisi kwake na ushindi wa 5-1 anasema it is lucky hata takwimu za mchezo ni lucky
 
ongeeni muwezavyo mume wenu nae akikaa sawa anapigwa hamsa...CAF ndo watu pekee watakaoweza kutuaminisha kwamba sisi timu ndogo coz kwenye timu bora 5 za CAF nyie makolomoxtra fc hampo sisi tupo MAANAZI YA JUZI NYIE
Unawajua CAF?

Takwimu gani za CAF ambazo Gongowazi yupo top 5?
 
Kumbe mpaka wao wana habari ya kupigwa mkono ?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Habari wanazo maana kila kitu kipo kwenye data

Ila wenzako walikuwa wanajaribu kupotosha kusema kuwa hii bango halioneshi full time linaonesha dakika ya 85

Hivyo mpira Yanga walisawazisha hizo goli 5 na mpira ukaisha kwa sare
1701432661165.png
 
Nilijua ushindi wa Yanga huko nje hakuna anayeujua

Aahaaaa

Hoya SAYVILLE njoo huku

Aahaaaaa

Maana ulisema ushindi wa Yanga hakuna anayeufahamu nje Tanzania

Balozi wa Misri anakuumbua huku
Huyo tupo naye kila siku hapa Kariakoo atashindwa kuyajua hayo matokeo? Huyo hata kizaramo anakipiga freshh kabisa
 
Hawezi kisifia Yanga

Hata ningekuwa mimi ningesema kuwa Zamalek ndo klabu kubwa Afrika
Mbona Simba waliisifia wakiwa wanakuja kucheza na sisi?

Walisema tunajua Simba ni timu ngumu na tuna iheshimu.

Na sio tu hilo, hata kocha wao wa zamani pitso aliwahi kusema Afrika hii hakuna kiwanja kigumu kupata matokeo kama Benjamín Mkapa huku mpinzani akiwa ni Simba.

Hiyo ndio maana real recognize real
 
Back
Top Bottom