Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Hiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.

Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
View attachment 2830249
majibu ya haya yatapatikana uwanjani
 
Hiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.

Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
View attachment 2830249
sisi na watu wa cairo ni ndugu, utoh mtajuta hio kesho
 
Kuna point ambayo huyu bwege aliongea inaendelea kuishi mpaka leo.

Japo hata yeye wakati huu anaweza kujitokeza kupinga (kwasababu ya kutetea tumbo lake) lakini wanaokuja kusifia ni watu kutoka mbali tena kwenye nchi ambazo wameendelea kimpira.

Tungesema sisi tusingekubalika machoni mwa wengi kwasababu tunajulikana kuwa ni mashabiki na mashabiki hitumia sana hisia.

So inawezekana kwa wakati huo jamaa alitumia hisia kwasababu ya ushabiki lakini at the same time hicho kitu kilikuwa ni kweli.

Kwasababu tunaona wanaokuja kukazia ni watu wengine kabisa
 
Hiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.

Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
View attachment 2830249
walipata matokeo mabaya pale Ufiraunini, wanasema wanataka goli 2 tu hpa Dar kule kwao watamaliza kwa 3.
 
Hiyo ni baada ya Kaizer Chiefs kusema Tanzania timu wanayoijua ni Simba hatimaye leo nao watani zetu Al Ahly wamekuja kutoa recognition kwa mnyama.

Mwandishi alipomuuliza kuhusu Yanga akasema anaijua Yanga ni timu kubwa Tanzania ila ni namba 2 kwasababu namba moja ni Simba
View attachment 2830249
aiseee
Screenshot_20231129-151719_Firefox.jpg
 
Iwe kweli ama la ila madhumni ya hayo maneno ni kuwafanya Young African washinde mitandaoni badala ya kujiandaa na mchezo husika.
 
Club number 1 imepigwa goli 5
Club iliyonifunga goli 5 ilifungwa goli 2 na Ihefu ambayo ipo mwishoni mwa msimamo wa ligi.
Screenshot_20231201-231733.png

Kwasababu Club kubwa haiwezi kufungwa na Club ndogo basi tukubali kuwa Ihefu ni wakubwa kwenu.

Kama utabisha hilo kuwa Ihefu ni mkubwa kwako, vipi na sisi tukisema tukubaliane na zile kashfa za rushwa zilizohusishwa kwenye mechi yenu mliyotufunga?
 
Kesho yanga jiwekeni sawa kiakili huo ni ukweli aisee kuifunga Simba ilikuwa bahati tu nyie kwa haya mashindano Bado ni underdog taka msitake
Basi mjitokezee uwanjani, hatujui sababu gani mlisusa na kocha mkamuondoa just mechi moja tu.

Kwa hiyo Namungo na Asec walibahatisha droo....?.
 
Hizi ni mind games, sasa mlivyo mambumbumbu mmeruka nayo tu kwa kukosa akili.

Ulitegemea aisifu klabu anayoenda kukutana nayo ili morali iwe juu apate upinzani?

Haya maneno hata mabondia huongea, akili ndio mmekosa wenzetu.
 
Toka lini Club ya Al Ahly ikawa mpanga viwango vya ubora acheni hizo nyie,,,,hapo wamewavimbisha mibichwa yenu ili kesho muwashangilie.
Tukisema tutumie data za CAF bado tutachokiona huko kitapingana na walichosema Al Ahly?
 
Hizi ni mind games, sasa mlivyo mambumbumbu mmeruka nayo tu kwa kukosa akili.

Ulitegemea aisifu klabu anayoenda kukutana nayo ili morali iwe juu apate upinzani?

Haya maneno hata mabondia huongea, akili ndio mmekosa wenzetu.
Kwani mind games haziwezi kusadifu kilicho kweli?

Hivi Ihefu akiwa na mechi na Al Ahly katika press Ihefu wakasema Al Ahly ni timu kubwa, hiyo itamaanisha kuwa Ihefu walichokiongea ni uongo?

Hiyo itapeleka tafsiri tofauti upande wa Al Ahly kuwa Ihefu wametumia mind game ili waifunge Al Ahly?
 
Back
Top Bottom