Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Kwa muda wa miaka 5 iliopita simba ameshiriki champions league robo fainali mara nyingi sn kuliko team yyt Tz Kwa takwimu hizo hio clip ipo sahihi Kwa wkt huu
 
Hizi ni mind games, sasa mlivyo mambumbumbu mmeruka nayo tu kwa kukosa akili.

Ulitegemea aisifu klabu anayoenda kukutana nayo ili morali iwe juu apate upinzani?

Haya maneno hata mabondia huongea, akili ndio mmekosa wenzetu.
Lishe duni ya utotoni huathiri ufanisi wa ubóngo.
 
Kati ya kasoro tulizopata katika umoja wa makabila yetu ni pamoja na kuwa na watu wajingawajinga tu. Yaani yeye Msifie tu na kumuambia wewe ni zaidi ya fulani yaani atavimba kichwa na hatajali hata timu yake ikishuka daraja.
We ndio mjinga ..kwa hapa Duniani tunalingana?
 
sasa mwamba mbona umekuja kutuaibisha huku mkuu hivi unakimbizwa unavyoandika au
 
Wanafanya shopping ya 5G! Wataipta tena kwa bei ya discount kutoka Yanga.
 
Wewe umeleta habari za Ahly hiyo ya Kaizer ilikua ni plan nyingine kwa hiyo hata kuwasifia au kusema tunawajua makolo pekee bado ni mindgame nayo kuwateka.

Hivi kweli seriously tuko kubishania kauli za timu fulani dhidi ya timu zetu. Sio bure ndio maana makolo mnapenda kudanganywa sana
 
Miafrika inapenda approval ya race zingine. Smh

USA wanacheza American football wenyewe, it's their favorite sport, they couldn't careless about other people's opinions.
 
Lugha ya mtoa Mada inafanana na ya Gentamycyne.
Sio Genta kweli huyu Wajumbe ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwamba sisi tuliofungana sawa kwa rekodi bila ya kupatikana mbabe tunakuwa tumezidiwa na nyie ambao mmechapika two times?
sijui watu huwa wanasoma shule gani aisee. Hapo hawezi kujibu atabadili mada.
 
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu, Yanga 1935, TANU 1954, CCM 1977,
CCM ni mtoto mdogo sana kwa Yanga, na imeikuta Yanga ipo ikiwa inawakanda mbumbumbu kama hivi Sasa.
Mbumbumbu fc ni timu la wakoloni na walowezi kutoka Asia, Wakati Yanga timu ya wananchi ikiunga jitihada za TANU za kuleta uhuru, mbumbumbu na vyama vya walowezi wakawa na jitihada za kufifisha harakati za uhuru lakini jitihada za mbumbumbu na mabwana zao ziligonga mwamba uhuru ukapatikana na mbumbumbu wakaendelea kukandwa vilevile.
 
Hujui kuwa TANU ni zao la chama cha African Association?
 
Wakati Haroub Canavaro anafunga goli taifa ulikua bado mdogo sio kosa lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…