sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Niseme ya kwamba Yanga ina bahati na kupangiwa timu kubwa ambazo huwa zinapatwa na matatizo, walianza na Tp Mazembe na msimu huu ni Al Ahly
Al Ahlu ya sasa ni timu nzuri ila kuna matatizo ndani ya timu, Kumekuwa na habari kwamba kuna migongano kwa upande wa strikers, Yani hats nafasi zitengenezwe vipi strikers wanavurunda kwa maksudi, magoli ya kufunga ni ya kusawazisna ama wakikosa namna ya kuvurunda, ndio maana hata leo mmeweza kuona nafasi takribani 40 zimetengenezwa lakini ni goli 1 tu limefungwa tena ni la kusawazisha ndani ya dakika 5.
Strikers kuna muda wanabaki na kipa lakini wanabutua nje (Tau akiwa kinara), wanafanya hivi maksudi na hata watengenezewe nafasi kiasi gani kufunga ni kwa kusawazisha pekee ama ikiwa ngumu kuvurunda.
Si ajabu hata usm alger (bingwa wa shirikisho) alifaidika na udhaifu huu wa Al Ahly, alifomfunga ikawa ni mwanzo mwisho kujiangusha ili Al Ahly asisawazishe
Al Ahly kwa sasa kuna migongano nfani ya timu upande wa strikers,