Al Ahly ya sasa imeshuka sana ubora, si ajabu hata USM Algier walijipigia. Yanga tunaenda kumchapa kwa Mkapa na kwake

Daima mbele.... nyuma mwiko!

Kama wale tu ambao nembo ya mdhamini wao (MO)nembo inakaa kwenye makalio!

Wameweza kudraw.... Mziki wa wananchi ni habari ingine!
Ihefu tu mmeshindwa kushikilia bomba,acheni ushabiki wa kimbumbumbu,kule kina Arajiga hawapo
 
Ihefu tu anawahenyesha itakuwa huyo bingwa wa kihistoria, acheni umbumbumbu wa kiushabiki
ihefu hajaanza msimu huuu..game nyingine kamati za ufundi zinaset mitambo sawa......iliopita ihefu kapiga ila ,mziki hadi fainali.......naona bado hamjapata code za kumtandika mwarabu kwao,,,,hio ni sketa ya yanga tu
 
Mlipomfunga mlirudi na kombe?
 
Niseme ya kwamba Yanga ina bahati na kupangiwa timu kubwa ambazo huwa zinapatwa na matatizo, walianza na Tp Mazembe na msimu huu ni Al Ahly
Uko sawa ila tusiwachukilie poa, lile goal waliowafunga Makolo leo lilikuwa la kiufundi sana.

Kitu ambacho nimeona kwa Al Ahly hawakutaka sana kutumia nguvu kwenye hili Bonanza ili kulinda wachezaji kwenye Klabu Bingwa Championship ambapo linaenda mpaka mwakani huko
 
ni kweli
 
ihefu hajaanza msimu huuu..game nyingine kamati za ufundi zinaset mitambo sawa......iliopita ihefu kapiga ila ,mziki hadi fainali.......naona bado hamjapata code za kumtandika mwarabu kwao,,,,hio ni sketa ya yanga tu
Ndio umbumbumbu wenyewe huo kuamini uwizadi na kila mara mnakandwa tu
 
Yanga haitashinda mechi hata moja.
Itadraw kwa mkapa itafungwa cairo
 
Naona watanzania wasivyo takiana mema.. Mola atuamshe.
 
Uto mnapenda kupitia mgongo wa simba ,,simba aki perfom mnazan na nyie mtaweza ,,,subrien si ni mwez ujao tu tuone,,ihefu mwenyew anawakojelea sembuse warabu wawil 🤣🤣
 
Goli la kumbabatiza mtu kichwani ndio goli la kiufundi? Uliangalia goli lenyewe au umesimuliwa?
 
ihefu hajaanza msimu huuu..game nyingine kamati za ufundi zinaset mitambo sawa......iliopita ihefu kapiga ila ,mziki hadi fainali.......naona bado hamjapata code za kumtandika mwarabu kwao,,,,hio ni sketa ya yanga tu
Kwan we mwarabu hakukufunga hapo kwa mkapa
 
ihefu hajaanza msimu huuu..game nyingine kamati za ufundi zinaset mitambo sawa......iliopita ihefu kapiga ila ,mziki hadi fainali.......naona bado hamjapata code za kumtandika mwarabu kwao,,,,hio ni sketa ya yanga tu
Waarabu gani hao unaowazungumzia, uliowapiga kwao?

Naamini unamaanisha Waydad, Raja, Ahly, Pyramid, Zamalek, Esperance, Belouzidad.

Nje ya hapo sidhani kama una haki ya kujiona bingwa dhidi ya waarabu, kwasababu haujakutana Big fishes ikilinganishwa na Simba Sc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…