Al Ahly ya sasa imeshuka sana ubora, si ajabu hata USM Algier walijipigia. Yanga tunaenda kumchapa kwa Mkapa na kwake

Acha ushabiki maandazi kukosa nafasi ni kawaida kwenye mpira simba pia wamekosa nyingi tu kwenye mechi ya champions league kati ya Manchester city na inter Milan siku ile mpaka Guardiola hakuamini kilichotokea maana inter Milan walikosa nafasi nyingi tena za wazi mpaka Guardiola akasema nimeshinda final kwasababu inter wamekosa magoli mengi wale al ahly sio wabovu kama unavyofikiria ila hata wao wanaiheshimu simba ndio maana walikuwa wanacheza kwa nidhamu kama ni team mbovu ngoja siku waje kucheza na yanga.
 
Big fish in a small pond washenzi kuwapiga waarabu ni ndani ya nchi tu na hadi mfanye figisu ndo maana safari hii al ahly akaja na kila kitu chake maana wanawajua mambo yenu,,,,,,,, nyie mafanikio yenu ni robo tu na msimu huu kimataifa ni mwendo wa droo kama mlivyoanza ngao ya jamii,,,, wataalam wenu hawawezi tena ku update database pua mkia
 
Hakuna mwarabu anatutisha kwa sasa wote hao wala urojo tu kwetu
 
Gazeti hujatupia hapa we kenge?. Matusi Yale 100 hujatupia au bado?
 
Acha porojo, kisha uniambie umemfunga mwarabu gani anaeheshika kwa mpira hapa Afrika.

We taja hata team moja tu.
 
Yanga aliifunga waarabu wa El Merrek nje ndani, au hukuwa umezaliw?a
 
We waache watacheza mechi zao za kundi na wasipoangalia wataishia kupata point 5 tu


Zote kwa sababu ya droo
 
Mwanzo ilikuwa Mwarabu kaja na mapipa ya maji na chakula chake mtapigwa nyingi sana. Baada ya sare ya 2-2 lugha ikabadilika kuwa kule mtachezea za kutosha. Baada ya aggregate score ya 1-1 Al Ahly ni wabovu! Kweli Utopolo ni machizi wote. Yaani vichwani mwao yamejaa matope kama si makamasi.
 
Si ndo hapo ,,,afu linajisifu eti walimpga mwarabu kwao yanasahau na yenyewe hapa yalikojolewa viwil
 
Wasingekuja na mapipa yao ya maji mngewafanyia figisu zenu wangetoka hata 2 1
 
Muda utajibu yote, tuombe uzima
 
USMA ni mdogo?
 
USMA ni mdogo?
Sasa USMA nayo ni team ya kuogopeka huko kasikazini.? Wewe sema imeifunga lini miamba ya soka huko kasikazini.?

Ahly, Raja, Wydad, Belouzdad, Zamalek, Esperance, Pyramid.

Hizo ndio team babe huko uarabuni na hata wewe unajua, niambie uliwahi kumfunga nani hapo.?
 
Kula chuma hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…