Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Kwenye uzi huu tutapata updates za game hiyo inayochezwa leo. Hizo timu zipo group 1 na Timu yetu pendwa Simba SC. Tuombee mechi hii iishe sare ili Simba aendelee kuongoza kundi hilo.
Dk 19: bado game ngumu
===
Takwimu za mchezo
Mabingwa watetezi Al Ahly πͺπ¬ wameshinda mechi zao zote yao ya kwanza kwa kuichapa timu ya El Merreikh kwa bao 3-0.
Ushindi huu unaendeleza wimbi la ushindi wa timu hiyo katika mechi za nyumbani. Mpaka sasa Al Alhly wameshinda mechi 19 mfululizo katika mechi za ligi ya mabingwa zilizochezwa katika uwanja wao huku wakiwa Wamefunga mabao 56 na kufungwa 6 tu.
Ushindi huo umeifanya Al ahly iongoze kundi hilo ambalo pia lipo na timu ya Simba ya Tanzania.
Katika mechi ijayo Al Ahly wanataraji kusafiri kuja Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza na timu ya Simba.